Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asakwa kwa kunyonga mtoto

JESHI la Polisi mkoani Geita linamsaka Shija Hamisi (28), mkazi wa Kijiji cha Ibamba kwa tuhuma za kumuua mtoto wake mwenye umri wa wiki mbili kwa kumnyonga kwa wivu wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO

Stori: Shomari Binda, Mara/UWAZI
MFANYAKAZI wa ndani anayefahamika kwa jina la Paulina Sobe anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mtoto wa bosi wake, Diana Meshack, mwenye umri wa miaka miwili, huko Musoma mkoani Mara, tukio lililotokea Januari 3 mwaka huu. RPC Mara akiwa na mtoto aliyeibiwa(kushoto) ni mama wa mtoto huyo. Kamanda wa Jeshi hilo mkoani Mara, ACP Philip Kalangi, aliliambia gazeti hili...

 

10 years ago

GPL

ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI

Na Makongoro Oging’
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...

 

10 years ago

GPL

JOKATE ASAKWA KWA UTAPELI!

Mayasa Mariwata na Hamida Hassan Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekwaa kashfa ya utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ shilingi elfu sabini za msanii wa Bongo Fleva anayefahamika kwa jina la Abdallah Hamis ‘Planet’, Ijumaa Wikienda lina mchapo...

 

11 years ago

GPL

MSANII BEN ASAKWA KWA KUJERUHI

Na Richard Bukos MSANII wa filamu za Kibongo, Abdulmalick Ahmed ‘Ben’ anasakwa na jeshi la polisi akidaiwa kumjeruhi mzazi mwenziye, Leyla Abdalah, mkazi wa Magomeni-Mikumi, Dar. Msichana aliyejeruhiwa na msanii Abdulmalick Ahmed ‘Ben’. Akizungumzia tukio hilo, Leyla alisema mwigizaji huyo ambaye pia hufahamika kwa jina la Serengo amekuwa akimfanyia fujo mara kwa mara kwani Januari, mwaka huu, akiwa...

 

10 years ago

GPL

HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI

Hamida Hassan/ijumaawikienda
Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’ nguo za shilingi laki saba, mali ya aliyekuwa Mtangazaji wa EATV,  Nasra Dattani ‘Lady Naa’ ambaye alimkabidhi begi lake la nguo baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine. Msanii wa muziki na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asakwa kwa kumuua kaka yake

WATU wawili wamefariki dunia mkoani Morogoro katika matukio mawili tofauti likiwemo la kijana kumuua kaka yake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Faustine Shilogile, alisema tukio hilo limetokea juzi, saa 6...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ataka Kikwete asaini kunyonga wauaji wa albino

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameitaka jumuiya ya albino nchini kuisukuma Serikali ili Rais Jakaya Kikwete asaini utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga wauaji wa albino.

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo

GWAJIMANa Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani