Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOKATE ASAKWA KWA UTAPELI!

Mayasa Mariwata na Hamida Hassan Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekwaa kashfa ya utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ shilingi elfu sabini za msanii wa Bongo Fleva anayefahamika kwa jina la Abdallah Hamis ‘Planet’, Ijumaa Wikienda lina mchapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI

Hamida Hassan/ijumaawikienda
Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’ nguo za shilingi laki saba, mali ya aliyekuwa Mtangazaji wa EATV,  Nasra Dattani ‘Lady Naa’ ambaye alimkabidhi begi lake la nguo baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine. Msanii wa muziki na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu

Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.

Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz

Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...

 

10 years ago

GPL

ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI

Na Makongoro Oging’
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asakwa kwa kunyonga mtoto

JESHI la Polisi mkoani Geita linamsaka Shija Hamisi (28), mkazi wa Kijiji cha Ibamba kwa tuhuma za kumuua mtoto wake mwenye umri wa wiki mbili kwa kumnyonga kwa wivu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asakwa kwa kumuua kaka yake

WATU wawili wamefariki dunia mkoani Morogoro katika matukio mawili tofauti likiwemo la kijana kumuua kaka yake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Faustine Shilogile, alisema tukio hilo limetokea juzi, saa 6...

 

11 years ago

GPL

MSANII BEN ASAKWA KWA KUJERUHI

Na Richard Bukos MSANII wa filamu za Kibongo, Abdulmalick Ahmed ‘Ben’ anasakwa na jeshi la polisi akidaiwa kumjeruhi mzazi mwenziye, Leyla Abdalah, mkazi wa Magomeni-Mikumi, Dar. Msichana aliyejeruhiwa na msanii Abdulmalick Ahmed ‘Ben’. Akizungumzia tukio hilo, Leyla alisema mwigizaji huyo ambaye pia hufahamika kwa jina la Serengo amekuwa akimfanyia fujo mara kwa mara kwani Januari, mwaka huu, akiwa...

 

11 years ago

GPL

MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI

Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima. Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha anayetuhumiwa kwa ubakaji. Taarifa zilizopatikana  ndani  ya  jeshi hilo...

 

11 years ago

GPL

NAY WA MITEGO ASAKWA KWA KUTISHIA KUUA

KIMENUKA! RB namba KT/RB/1178/2014-KUTISHIA KUUA KWA NJIA YA MTANDAO inamsaka staa wa Ngoma ya Nakula Ujana, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa tuhuma ya kutishia kumuua mdogo wake aliyetajwa kwa jina la Amani Shija, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Staa wa Ngoma ya Nakula Ujana, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Kwa mujibu wa chanzo makini, Nay alikuwa akiishi na Shija kwa zaidi ya miaka mitano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani