Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAY WA MITEGO ASAKWA KWA KUTISHIA KUUA

KIMENUKA! RB namba KT/RB/1178/2014-KUTISHIA KUUA KWA NJIA YA MTANDAO inamsaka staa wa Ngoma ya Nakula Ujana, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa tuhuma ya kutishia kumuua mdogo wake aliyetajwa kwa jina la Amani Shija, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Staa wa Ngoma ya Nakula Ujana, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Kwa mujibu wa chanzo makini, Nay alikuwa akiishi na Shija kwa zaidi ya miaka mitano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NAY AFUNGUKIA TUHUMA ZA KUTISHIA KUUA

STAA wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefungukia skendo ya kumtishia kumuua mdogo wake aitwaye Amani Shija. Staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Akizungumza na gazeti hili Aprili 29 mwaka huu, Nay alisema kwamba anasikitishwa sana na malalamiko ya Amani kwani katika maisha yake hajawahi kumtishia mtu kumuua na hajui ni kipi ambacho kimemvuta hadi...

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

10 years ago

Habarileo

Mhadhiri CBE kortini akidaiwa kutishia kuua

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.MHADHIRI Msaidizi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Andrew Kimbombo (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

CloudsFM

Nay Wa Mitego awataka wasanii kutoa misaada kwa jamii

upendo na kutoa msaada kwa jamii. Akizungumza jijini Dar, Ney alisema kuwa yeye ni kioo cha jamii na katika matatizo ya kibinadamu anakuwa kama mtu wa kawaida kwa kusaidia.
“Unajua sisi ni binadamu na kama umefanikiwa kwa kiasi fulani basi na wewe unatakiwa kutoa msaada kidogo ulichokua nacho, hivyo nawaasa wasanii wenzangu kujitolea,” alisema.
Msanii huyo amefanikiwa kufanya vizuri nchini kupitia nyimbo zake kama Akadumba, Nakula ujana na nyinginezo.

 

10 years ago

CloudsFM

Nay Wa Mitego,Diamond waingia studio kwa mara nyingine kufanya ngoma.

Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platinumz hivi karibuni. Akizungumza na Clouds FM, Nay alisema kuwa ngoma hiyo ameifanya kwenye studio za Free Nation kwa producer Mr.Tee Touch na kwamba jina la ngoma hiyo atalisema siku ambayo atakayoitambulisha ngoma hiyo.

‘’Yaah nimefanya ngoma tena na Diamond Platinumz na nitaitambulisha hivi karibuni kikweli sijisifii ni bonge la ngoma,’’alisema Nay Wa Mitego.
Mastaa hao walishawahi kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani