Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa utekaji malori, uporaji ameuawa akijaribu Kumpora Silaha Polisi

Kijana mmoja aliyekuwa anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuteka malori matano eneo la Milade barabara kuu ya Singida-Mwanza na kuwapora abiria mali na fedha ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kumvamia askari na kumnyang’anya silaha ili atoroke chini ya ulinzi.

Kijana huyo Dotto Wiliam mwenye miaka 30 mkazi wa Kibaoni Mjini Singida anadaiwa kukiri kutega mawe barabarani na kupora, jana majira ya saa tano usiku na kukubali kwenda pori la Minyunge-Singida kuonesha bunduki aliyoficha...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Uporaji silaha polisi, mamlaka zizinduke

Kwa mara ya tisa katika kipindi kifupi cha mwaka mmoja, tumeendelea kushuhudia majanga yakiliandama Jeshi la Polisi nchini kwa baadhi ya vituo vyake kuvamiwa na majambazi na kuporwa silaha, huku baadhi ya askari wake wakiuawa na wengine wakiachwa na vilema vya maisha

 

11 years ago

Mwananchi

Utekaji malori wasababisha maelfu kukwama Nzega

Zaidi ya magari 1,000 yamekwama kwenye Barabara Kuu ya Mwanza - Dar es Salaam katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Miguwa, wilayani Nzega, kutokana utekaji wa malori uliofanywa juzi usiku.

 

10 years ago

GPL

NIMESHTUSHWA; CHAGONJA KUHUSISHWA NA UPORAJI SILAHA

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja. MIMI si Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi kama alivyo Paul Chagonja wala siyo mwakilishi wa wananchi wote, lakini linapokuja suala la falfasa ya uongozi ni IMANI nalazimika kuwa Chagonja na pia mwakilishi wa wananchi wote. Kabla sijasonga mbele na makala haya naomba ninukuu kauli ya Mbunge wa Arusha Mjini aliyoitoa bungeni mwishoni mwa wiki...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI DAR LAWASHIKILIA WATU WATANO WALIOMKATA MAPANGA NA KUMPORA OFISA WA SERIKALI, WALIOBIWA LAPTOP WAITWA POLISI

Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

 WATU Watano ambao ni maarufu kwa ukataji watu mapanga maeneo ya Tegeta jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa kutokana na uporaji walioufanya katika nyumba ya Ofisa wa Serikali Victor Nelson  Nyirenda ambaye kabla ya kumpora walimkata mapanga kichwani.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja watuhumiwa hao leo Machi 27,2020 kuwa ni Juma John( 27), Japhet Charles( 25), Victor ...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wajeruhi, wapora malori Masasi

Watu kadhaa wamejeruhiwa, mmoja yuko mahututi na amelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Ndanda wilayani Masasi baada ya watu wenye silaha kuteka malori matano toka katika kijiji cha Nangoo kilichopo barabara kuu ya Mtwara- Masasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

GPL

ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI

Na Makongoro Oging’
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani