Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utekaji malori wasababisha maelfu kukwama Nzega

Zaidi ya magari 1,000 yamekwama kwenye Barabara Kuu ya Mwanza - Dar es Salaam katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Miguwa, wilayani Nzega, kutokana utekaji wa malori uliofanywa juzi usiku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mtuhumiwa utekaji malori, uporaji ameuawa akijaribu Kumpora Silaha Polisi

Kijana mmoja aliyekuwa anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuteka malori matano eneo la Milade barabara kuu ya Singida-Mwanza na kuwapora abiria mali na fedha ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kumvamia askari na kumnyang’anya silaha ili atoroke chini ya ulinzi.

Kijana huyo Dotto Wiliam mwenye miaka 30 mkazi wa Kibaoni Mjini Singida anadaiwa kukiri kutega mawe barabarani na kupora, jana majira ya saa tano usiku na kukubali kwenda pori la Minyunge-Singida kuonesha bunduki aliyoficha...

 

11 years ago

Mwananchi

Malori yanaua maelfu, hakuna anayejali

>Hatuna jinsi ya kuelezea masikitiko yetu kutokana na vifo vya maelfu ya watu vinavyosababishwa na malori katika barabara zetu nchini kila kukicha. Ni vigumu kupita siku pasipo kusikia ajali za barabarani zinazotokana na malori ya mizigo.

 

11 years ago

Mwananchi

Malori yaua maelfu ya watu nchini

Jitihada za Serikali na wadau wengine kupunguza ongezeko la ajali nchini, zimeendelea kupambana na vikwazo baada ya kubainika kuwa malori yanachangia sehemu kubwa ya ajali hizo.

 

10 years ago

Michuzi

Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Awali ya yote nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha hapa siku hii adhimu ya leo, maana ni kwa utashi wake tu tunaweza kuyafanya haya yote.


Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.


Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazee wazidi kukwama

Mpango wa pensheni kwa wazee unaonekana kuota mbawa baada ya Serikali kueleza kuwa utekelezaji wake ni mgumu ingawa imeahidi kuwa bado inalifanyia kazi jambo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Kilimo ‘chupuchupu’ kukwama

Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imepita kwa kusuasua baada ya wabunge wanane kutishia na kujaribu kuiondoa shilingi katika mshahara wa waziri.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wahofia BRN kukwama

Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), huenda ukakwama kutokana na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu wilayani Karagwe, mkoani Kagera, imebainika.

 

10 years ago

Nipashe

Rasimu iliyopendekezwa hatarini kukwama

Rasimu ya Katiba Mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) ipo katika hatari ya kukwama kupitishwa na baadhi ya wajumbe, kufuatia kukosekana kwa kipengele kinachoruhusu Mahakama ya Kadhi.

Msimamo huo ulitolewa jana na wajumbe hao kwa nyakati tofauti, ndani na nje ya ukumbi wa Bunge.

Sheikh Masoud Jongo, baada ya kuruhusiwa kuchangia mjadala bungeni alisema;
"Tulileta mapendekezo yetu, mpaka sasa tunaona kimya tunachotaka kujua yataingizwa au hayaingizwi.?

Kama hayaingizwi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama

WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani