Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wazidi kukwama

Mpango wa pensheni kwa wazee unaonekana kuota mbawa baada ya Serikali kueleza kuwa utekelezaji wake ni mgumu ingawa imeahidi kuwa bado inalifanyia kazi jambo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wahofia BRN kukwama

Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), huenda ukakwama kutokana na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu wilayani Karagwe, mkoani Kagera, imebainika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama

WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Kilimo ‘chupuchupu’ kukwama

Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imepita kwa kusuasua baada ya wabunge wanane kutishia na kujaribu kuiondoa shilingi katika mshahara wa waziri.

 

10 years ago

Nipashe

Rasimu iliyopendekezwa hatarini kukwama

Rasimu ya Katiba Mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) ipo katika hatari ya kukwama kupitishwa na baadhi ya wajumbe, kufuatia kukosekana kwa kipengele kinachoruhusu Mahakama ya Kadhi.

Msimamo huo ulitolewa jana na wajumbe hao kwa nyakati tofauti, ndani na nje ya ukumbi wa Bunge.

Sheikh Masoud Jongo, baada ya kuruhusiwa kuchangia mjadala bungeni alisema;
"Tulileta mapendekezo yetu, mpaka sasa tunaona kimya tunachotaka kujua yataingizwa au hayaingizwi.?

Kama hayaingizwi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ahofia Rasimu ya Katiba kukwama

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Steven Ngonyani ameelezea hofu yake juu ya uwezekano wa kukwama kwa Rasimu ya Katiba ikiwa mgawanyiko utaendelea kulitafuna Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Sababu ya kukwama reli Arusha-Musoma yatajwa

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaUGUNDUZI wa madini ya red nickel pamoja na kilometa 13 zinazohitaji daraja katika Ziwa Victoria, ni miongoni mwa mambo yaliyochelewesha ujenzi wa reli mpya ya kutoka Arusha hadi Musoma, imefahamika.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi ya Pinda Mahakama ya Kadhi hatarini kukwama

Ahadi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda ya kuwasilisha suala la Mahakama ya Kadhi kwenye kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano cha Januari ili chombo hicho kitambuliwe kisheria, iko hatarini kukwama baada ya kubainika kasoro mbalimbali katika sheria ya kuanzishwa kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani