Ahadi ya Pinda Mahakama ya Kadhi hatarini kukwama
Ahadi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda ya kuwasilisha suala la Mahakama ya Kadhi kwenye kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano cha Januari ili chombo hicho kitambuliwe kisheria, iko hatarini kukwama baada ya kubainika kasoro mbalimbali katika sheria ya kuanzishwa kwake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Pinda aiokoa Mahakama ya Kadhi
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Pinda: Tumerudisha Mahakama ya Kadhi ili ijadiliwe zaidi
10 years ago
Nipashe28 Sep
Rasimu iliyopendekezwa hatarini kukwama
Rasimu ya Katiba Mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) ipo katika hatari ya kukwama kupitishwa na baadhi ya wajumbe, kufuatia kukosekana kwa kipengele kinachoruhusu Mahakama ya Kadhi.
Msimamo huo ulitolewa jana na wajumbe hao kwa nyakati tofauti, ndani na nje ya ukumbi wa Bunge.
Sheikh Masoud Jongo, baada ya kuruhusiwa kuchangia mjadala bungeni alisema;
"Tulileta mapendekezo yetu, mpaka sasa tunaona kimya tunachotaka kujua yataingizwa au hayaingizwi.?
Kama hayaingizwi...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mahakama ya Kadhi Utata
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Mahakama ya Kadhi yazikwa
![Samia Hassan Suluhu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Samia-Hassan-Suluhu.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan
Rachel Mrisho, Dodoma
SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan, limezikwa rasmi.
Hali hiyo imejidhihirisha jana kutokana na kutozungumziwa katika uwasilishaji wa maoni ya walio wengi, wakati kamati hizo zikiwasilisha maoni yake juu ya sura ya tisa na 10.
Imedaiwa...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Waislamu walilia Mahakama ya Kadhi
JUMUIYA na taasisi za Kiislamu nchini zimeshangazwa kutokana na baadhi ya mapendekezo yao kutokuwamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
10 years ago
Habarileo12 Mar
Mahakama ya Kadhi yarejeshwa bungeni
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali, likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi, utawasilishwa katika Bunge lijalo ukiwa na maudhui ya kuangalia jinsi ya kuendesha masuala ya imani ya dini ya Kiislamu.
10 years ago
Habarileo30 Sep
Mahakama ya Kadhi yaleta maridhiano
HOFU ya Mahakama ya Kadhi, kugawa Bunge Maalumu la Katiba na kusababisha kukwama kwa upatikanaji wa Katiba Inayopendekezwa, imeondoka jana na kugeuka kiunganishi cha kurahisisha upitishwaji wa Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa.
10 years ago
Habarileo29 Mar
JK aweka msimamo Mahakama ya Kadhi
RAIS Jakaya Kikwete amefafanua msimamo wa Serikali katika mjadala unaoendelea wa Mahakama ya Kadhi, na kuweka wazi kuwa Serikali haina mpango wa kuianzisha, wala kuiendesha.