Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rasimu iliyopendekezwa hatarini kukwama

Rasimu ya Katiba Mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) ipo katika hatari ya kukwama kupitishwa na baadhi ya wajumbe, kufuatia kukosekana kwa kipengele kinachoruhusu Mahakama ya Kadhi.

Msimamo huo ulitolewa jana na wajumbe hao kwa nyakati tofauti, ndani na nje ya ukumbi wa Bunge.

Sheikh Masoud Jongo, baada ya kuruhusiwa kuchangia mjadala bungeni alisema;
"Tulileta mapendekezo yetu, mpaka sasa tunaona kimya tunachotaka kujua yataingizwa au hayaingizwi.?

Kama hayaingizwi...

Nipashe

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waikosoa rasimu iliyopendekezwa

>Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani hapa, Angonet, pamoja na mashirika mengine, wameikosoa  Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge  la Katiba (BMK)kwa maelezo haina jipya kwani haijajibu kero za Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi ya Pinda Mahakama ya Kadhi hatarini kukwama

Ahadi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda ya kuwasilisha suala la Mahakama ya Kadhi kwenye kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano cha Januari ili chombo hicho kitambuliwe kisheria, iko hatarini kukwama baada ya kubainika kasoro mbalimbali katika sheria ya kuanzishwa kwake.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA: Waiponda rasimu iliyopendekezwa

>Siku moja baada ya Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba kutoa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa na kutofautiana na rasimu iliyotolewa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wasomi nchini wameiponda rasimu hiyo kwamba imeondoa mambo mengi ya msingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ahofia Rasimu ya Katiba kukwama

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Steven Ngonyani ameelezea hofu yake juu ya uwezekano wa kukwama kwa Rasimu ya Katiba ikiwa mgawanyiko utaendelea kulitafuna Bunge hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM 2014

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta
Mambo yameiva, na hii hapa ndiyo Rasimu ya Tatu ya Katiba, ambayo inapendekezwa na Bunge Maalum. Vipengele vingi vimebadilishwa. Haya hapa ni mambo ya Muungano:Mambo ya Muungano
1. Katiba na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.2. Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.3. Usalama na usafiri wa anga.4. Uraia na uhamiaji.5. Jeshi la Polisi.
6. Sarafu na Benki Kuu.7. Kodi ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Mashirika,...

 

10 years ago

GPL

RASIMU ILIYOPENDEKEZWA BUNGE MAALUMU LA KATIBA‏

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta. BONYEZA HAPA KUSOMA==> RASIMU ILIYOPENDEKEZWA BUNGE MAALUMU LA…

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU YA KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA KUWASILISHWA BUNGENI SEPTEMBA 24 MWAKA HUU

Na Benedict Liwenga na Magreth Kinabo.
RASIMU ya Katiba  Mpya  iliyopendekezwa inatarajiwa  kuwasilishwa  katika Bunge Maalum la Katiba Septemba 24, mwaka huu.
Mabadiliko hayo yametangazwa leo jioni na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahya Khamis Hamad wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Aidha Katibu huyo amesema uamuzi wa mabadiliko hayo, umetokana na kufanyika kikao baina ya Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi. 
Hata hivyo Katibu...

 

10 years ago

Vijimambo

CHENGE AKABIDHI RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI BUNGE MAALUM LEO

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hiloleo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni kesho.

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU ILIYOPENDEKEZWA.

 Msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.

 Kiongozi wa msafara wa wasanii walifika katika Bunge Maalum la Katiba Bw. Simon Mwakifwamba akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.

 Baadhi ya wasanii wakimsikiliza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani