Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ahofia Rasimu ya Katiba kukwama

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Steven Ngonyani ameelezea hofu yake juu ya uwezekano wa kukwama kwa Rasimu ya Katiba ikiwa mgawanyiko utaendelea kulitafuna Bunge hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Nipashe

Rasimu iliyopendekezwa hatarini kukwama

Rasimu ya Katiba Mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) ipo katika hatari ya kukwama kupitishwa na baadhi ya wajumbe, kufuatia kukosekana kwa kipengele kinachoruhusu Mahakama ya Kadhi.

Msimamo huo ulitolewa jana na wajumbe hao kwa nyakati tofauti, ndani na nje ya ukumbi wa Bunge.

Sheikh Masoud Jongo, baada ya kuruhusiwa kuchangia mjadala bungeni alisema;
"Tulileta mapendekezo yetu, mpaka sasa tunaona kimya tunachotaka kujua yataingizwa au hayaingizwi.?

Kama hayaingizwi...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbunge wa Nkasi ahofia kuonekana mzembe

Godfrey-ZambiMBUNGE wa Nkasi Kusini, Desdurius Mipata (CCM), amehofia wapiga kura wake kumuona mzembe kutokana na kushindwa kupeleka huduma ya mawasiliano katika jimbo lake.

Akiuliza swali bungeni jana, alisema licha ya kuihoji Serikali mara kwa mara, lakini hadi sasa vijiji hivyo havina mawasiliano.

“Je, Serikali haoni wananchi wangu wataniona mzembe kwa kushindwa kuwapelekea mawasiliano,” alihoji.

Alitaka kujua mpango wa Serikali wa kuvipatia vijiji vya kata ya Kate na Isale mawasiliano ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ahofia Bunge la Katiba kuvunjika

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, amesema kuna uwezekano mkubwa wa bunge hilo kuvunjika iwapo wajumbe wake kwa upande wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wataendeleza uchakachuaji wa kanuni...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

GPL

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani