Mbunge wa Nkasi ahofia kuonekana mzembe
MBUNGE wa Nkasi Kusini, Desdurius Mipata (CCM), amehofia wapiga kura wake kumuona mzembe kutokana na kushindwa kupeleka huduma ya mawasiliano katika jimbo lake.
Akiuliza swali bungeni jana, alisema licha ya kuihoji Serikali mara kwa mara, lakini hadi sasa vijiji hivyo havina mawasiliano.
“Je, Serikali haoni wananchi wangu wataniona mzembe kwa kushindwa kuwapelekea mawasiliano,” alihoji.
Alitaka kujua mpango wa Serikali wa kuvipatia vijiji vya kata ya Kate na Isale mawasiliano ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Mbunge ahofia Rasimu ya Katiba kukwama
11 years ago
Mwananchi28 May
Mbunge wa Nkasi nusura apigwe
10 years ago
Mwananchi21 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI: ccm itapigwa saa mbili asubuhi Nkasi Kusini na nkasi kaskazini
9 years ago
Habarileo10 Nov
RC amjia juu mkandarasi ‘mzembe’
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amemjia juu mkandarasi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya Ruaha - Sali, wilayani Ulanga kwa kushindwa kukamilisha ujenzi licha ya kuongezewa muda.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6GjqCm-D88o/Vmvh0FWqvMI/AAAAAAAAVGk/voOfygtZdi4/s72-c/mahakama.jpg)
DEREVA MZEMBE AHUKUMIWA MIAKA MITATU JELA MKOANI MBEYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-6GjqCm-D88o/Vmvh0FWqvMI/AAAAAAAAVGk/voOfygtZdi4/s320/mahakama.jpg)
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imememhukumu kwenda jela miaka mitatu Martin Mhina Dereva wa basi la Majinja kwa kuendesha gari kwa uzembe.
Waendesha Mashitaka wa Serikali Hannarose Kasambala na Catherine Gwatu wameiambia Mahakama kuwa Dereva huyo aliendesha Basi la Kampuni ya Majinja kwa uzembe mapema mwaka huu majira ya saa 12 asubuhi kwa kuigonga gari aina ya Toyota Hilux na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Mawakili hao wameiambia Mahakama kuwa Kesi hiyo namba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBY*kL9Yow9JvZkRB*0iFth18jhk8M4nLFFAiu1YTP1R*yoIhGNejnDRVtsuWblHzGRQk*EiMU*ZzPVPTblO2DRT/Nisha.jpg)
NISHA AHOFIA UZEE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnT3kzW1p4vKjtzHWuwMDet0DD99Fmo6gwWL8KVbUGdoA5SAqXg74IG*IqP2ZCUh-fz0NDuZ1TM6zhjYX2gTKwNI/ODAMA.jpg)
ODAMA AHOFIA KIFO
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Komba ahofia kutorudi bungeni
MBUNGE wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (CCM) amehofia kutorudi bungeni katika uchaguzi mwakani kutokana na kukosekana kwa mawasiliano ya simu za mkononi Jimboni kwake. Akiuliza swali bungeni jana, alisema...
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Mkurugenzi ahofia Tazara ‘kufa’