Waislamu walilia Mahakama ya Kadhi
JUMUIYA na taasisi za Kiislamu nchini zimeshangazwa kutokana na baadhi ya mapendekezo yao kutokuwamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania07 Sep
Waislamu watibuka kuzikwa Mahakama ya Kadhi
![Waumini wa Kiislamu wakiswali](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Waislamu.jpg)
Waumini wa Kiislamu wakiswali
NA ELIZABETH MJATTA
WAKATI Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba, akitarajia kutoa msimamo wake leo kuhusu hatua ya Bunge Maalumu la Katiba kuzika suala la Mahakama ya Kadhi, Waislamu kupitia Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu (Hayat), wameapa kuipigia kura ya hapana Rasimu ya Katiba pindi itakapofika kwa wananchi.
Akizungumza na MTANZANIA Jumapili, Naibu Katibu Mkuu wa Hayat na Mwenyekiti wa Jukwaa la Waislamu la Kuratibu maoni ya Katiba, Sheikh...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-7H4T*-XYZGqykoKWaG1jMSMF8Zc1A-bZPp8PlVdoUiYVw39jXnTj6*3t4qznatESMHgqAoVXnCpqnxtP5O*u0/mufti.jpg?width=600)
MAHAKAMA YA KADHI, BAKWATA WAWASIHI WAISLAMU
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Mahakama ya kadhi: Waislamu kususia kura ya maoni
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Mahakama ya Kadhi yazikwa
![Samia Hassan Suluhu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Samia-Hassan-Suluhu.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan
Rachel Mrisho, Dodoma
SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan, limezikwa rasmi.
Hali hiyo imejidhihirisha jana kutokana na kutozungumziwa katika uwasilishaji wa maoni ya walio wengi, wakati kamati hizo zikiwasilisha maoni yake juu ya sura ya tisa na 10.
Imedaiwa...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mahakama ya Kadhi Utata
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Pinda aiokoa Mahakama ya Kadhi
10 years ago
Habarileo12 Mar
Mahakama ya Kadhi yarejeshwa bungeni
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali, likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi, utawasilishwa katika Bunge lijalo ukiwa na maudhui ya kuangalia jinsi ya kuendesha masuala ya imani ya dini ya Kiislamu.
10 years ago
Habarileo30 Mar
Wabunge wavurugana Mahakama ya Kadhi
BAADA ya kutokea kutoelewana miongoni mwa wabunge juu ya marekebisho ya muswada wa sheria inayoruhusu kuundwa kwa Mahakama ya Kadhi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuna haja ya Serikali kutafakari upya kuhusu suala hilo kabla ya kuliwasilisha bungeni.
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Mahakama ya Kadhi yawavuruga wabunge
Na Debora Sanja na Fredy Azzah, Dodoma
WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana nusura wazichape kavukavu baada ya kutofautiana juu ya uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi.
Hali hiyo ilijitokeza wakati wabunge hao wakiwa katika semina iliyohusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, ambapo miongoni mwa sheria zilizomo ndani yake ni pamoja na ile ya Mahakama ya Kadhi.
Sakati hilo lilitokea katika semina kuhusu muswada huo unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni keshokutwa...