MAHAKAMA YA KADHI, BAKWATA WAWASIHI WAISLAMU
![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-7H4T*-XYZGqykoKWaG1jMSMF8Zc1A-bZPp8PlVdoUiYVw39jXnTj6*3t4qznatESMHgqAoVXnCpqnxtP5O*u0/mufti.jpg?width=600)
Mufti Shaaba Simba. Na Elvan Stambuli BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) linaloongozwa na Mufti Shaaba Simba (pichani) leo wamewasihi Waislamu kuwa watulivu wakati mchakato wa Mahakama ya Kadhi ukiwa bungeni kwa mjadala. Katika taarifa yao iliyosainiwa na Sheikh Abdallah Yusufu Mnyasi na Sheikh Abubakar Zuberi ambayo ilisambazwa kupitia Idara ya Habari (Maelezo) viongozi hao wote ambao wapo katika Baraza la Ulamaa la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Waislamu walilia Mahakama ya Kadhi
JUMUIYA na taasisi za Kiislamu nchini zimeshangazwa kutokana na baadhi ya mapendekezo yao kutokuwamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
10 years ago
Mtanzania07 Sep
Waislamu watibuka kuzikwa Mahakama ya Kadhi
![Waumini wa Kiislamu wakiswali](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Waislamu.jpg)
Waumini wa Kiislamu wakiswali
NA ELIZABETH MJATTA
WAKATI Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba, akitarajia kutoa msimamo wake leo kuhusu hatua ya Bunge Maalumu la Katiba kuzika suala la Mahakama ya Kadhi, Waislamu kupitia Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu (Hayat), wameapa kuipigia kura ya hapana Rasimu ya Katiba pindi itakapofika kwa wananchi.
Akizungumza na MTANZANIA Jumapili, Naibu Katibu Mkuu wa Hayat na Mwenyekiti wa Jukwaa la Waislamu la Kuratibu maoni ya Katiba, Sheikh...
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Mahakama ya kadhi: Waislamu kususia kura ya maoni
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata
TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QiYZ3d6wXIc/ViuvmwA-c6I/AAAAAAAIClA/y4gXwzrqmiE/s72-c/IMG-20151024-WA0025.jpg)
5 years ago
MichuziBAKWATA SINGIDA YAWAOMBA WAISLAMU KUOMBEA DUA UGONJWA WA KORONA
5 years ago
MichuziBAKWATA MKOA WA SINGIDA YAWAOMBA WAISLAMU KUVITUMIA VITABU VITAKATIBU KUOMBA DUA UGONJWA WA KORONA UWEZE KUTOWEKA
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida limewaomba waumini wa madhehebu ya dini ya kiislamu Mkoani Singida kuvitumia vitabu vya korani tukufu kusoma na kuomba dua ili Mwenyezimungu aweze kuwaondolea waislamu,watanzania pamoja na duniani kwa ujumla janga la COVID -19 linalosababisha ugonjwa wa korona.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Bakwata wa Mkoa wa Singida,Alhaji Buruhani Mlau kwenye hafla ya kupokea vitabu vya koroni tukufu vikiwepo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z3BWMoplk5QOQWHysa-Bb38l9rnz9e7TPgGkSNxogXGybgR9UfdUGQ1jj-xSGx0XTKaMK6ZSJR7b1YeGNFpJZl*DG-GV3tde/IKULU.png?width=650)
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Mahakama ya Kadhi yazikwa
![Samia Hassan Suluhu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Samia-Hassan-Suluhu.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan
Rachel Mrisho, Dodoma
SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan, limezikwa rasmi.
Hali hiyo imejidhihirisha jana kutokana na kutozungumziwa katika uwasilishaji wa maoni ya walio wengi, wakati kamati hizo zikiwasilisha maoni yake juu ya sura ya tisa na 10.
Imedaiwa...