Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAKWATA SINGIDA YAWAOMBA WAISLAMU KUOMBEA DUA UGONJWA WA KORONA

 Ni Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi(CCM) Elibariki Emmanueli Kingu (wa kwanza kutoka kushoto) akimkabidhi Katibu wa Bakwata wa Mkoa wa Singida,Alhaji Buruhani Mlau vitabu vitakatifu vya korani tukufu,vikiwemo misahamu 100 pamoja na juzuu 400 kwa ajili ya kugawa kwenye misikiti ya jimbo la Singida Magharibi.Baadhi ya vitabu vitakatifu(juzuuu) zilizokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi(CCM)Elibariki Emmanueli Kingu kwa ajili ya kusambazwa kwenye misikiti ya jimbo zima la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BAKWATA MKOA WA SINGIDA YAWAOMBA WAISLAMU KUVITUMIA VITABU VITAKATIBU KUOMBA DUA UGONJWA WA KORONA UWEZE KUTOWEKA

Na Jumbe Ismailly SINGIDA

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida limewaomba waumini wa madhehebu ya dini ya kiislamu Mkoani Singida kuvitumia vitabu vya korani tukufu kusoma na kuomba dua ili Mwenyezimungu aweze kuwaondolea waislamu,watanzania pamoja na duniani kwa ujumla janga la COVID -19 linalosababisha ugonjwa wa korona.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Bakwata wa Mkoa wa Singida,Alhaji Buruhani Mlau kwenye hafla ya kupokea vitabu vya koroni tukufu vikiwepo...

 

9 years ago

Habarileo

Waswali kuombea dua uchaguzi mkuu

IKIWA leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani, wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, Kusini na Kaskazini wameswali pamoja kuombea dua uchaguzi mkuu unaofanyika leo uwe wa amani.

 

10 years ago

Habarileo

Waislamu kuombea nchi

WAISLAMU nchini leo wanaanza kufanya dua maalumu katika viwanja vya Jangwani, kuombea Watanzania kumrudia Mungu na kuwa na hofu na Mungu katika matendo yao.

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA YA KADHI, BAKWATA WAWASIHI WAISLAMU

Mufti Shaaba Simba. Na Elvan Stambuli BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) linaloongozwa na Mufti Shaaba Simba (pichani) leo wamewasihi Waislamu kuwa watulivu wakati mchakato wa Mahakama ya Kadhi ukiwa bungeni kwa mjadala. Katika taarifa yao iliyosainiwa na Sheikh Abdallah Yusufu Mnyasi na Sheikh Abubakar Zuberi ambayo ilisambazwa kupitia Idara ya Habari (Maelezo) viongozi hao wote ambao wapo katika Baraza la Ulamaa la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata

TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...

 

5 years ago

Michuzi

WAISLAMU KUFANYA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU TATU

NA BALTAZAR MASHAKA, Mwanza

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BWAKWATA) Mkoa wa Mwanza, limesema waumini wa dini hiyo mkoani humu wataungana na wa mikoa mingine nchini kufanya ibada ya kuomba dua kumshukuru Mungu kwa kusikia na kujibu maombi ya Watanzania kuhusiana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (Covid-19).

Pia watafanya ibada ya kumwombea dua Rais John Magufuli, Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda kwa alichokionyesha na hatua alizochukua za kuwapigania wananchi wanyonge kwenye mapambano ya...

 

9 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA DUA YA KUOMBEA TAIFA AMANI, JIJINI DAR


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani Tanzania, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana Nov 7...

 

5 years ago

Michuzi

HUAWEI YATOA MCHANGO KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KORONA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mchango wa  vifaa vya kuendeshea mikutano kwa njia ya video ambavyo ni cloudlink camera tatu, Cloudlink Mic tatu, Cloudlink TV terminal tatu, Cloudlink Platform pamoja na Thermal Imaging Temperature Measuring System sita vyote vikiwa na thamani ya sh. milioni 940 Kutoka kampuni ya TEHAMA ya HUAWEI,kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu - COVID-19. Pichani, Waziri Mkuu akiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani