Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislamu kuombea nchi

WAISLAMU nchini leo wanaanza kufanya dua maalumu katika viwanja vya Jangwani, kuombea Watanzania kumrudia Mungu na kuwa na hofu na Mungu katika matendo yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BAKWATA SINGIDA YAWAOMBA WAISLAMU KUOMBEA DUA UGONJWA WA KORONA

 Ni Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi(CCM) Elibariki Emmanueli Kingu (wa kwanza kutoka kushoto) akimkabidhi Katibu wa Bakwata wa Mkoa wa Singida,Alhaji Buruhani Mlau vitabu vitakatifu vya korani tukufu,vikiwemo misahamu 100 pamoja na juzuu 400 kwa ajili ya kugawa kwenye misikiti ya jimbo la Singida Magharibi.Baadhi ya vitabu vitakatifu(juzuuu) zilizokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi(CCM)Elibariki Emmanueli Kingu kwa ajili ya kusambazwa kwenye misikiti ya jimbo zima la...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka waumini kuombea nchi amani

John MwelaASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini, John Mwela amewataka waumini kukazana katika maombi kuiombea nchi isiingie katika machafuko, hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa Katiba mpya na kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho.

 

9 years ago

Vijimambo

DC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi.Mwenyekiti wa Wilaya ya Chama cha Union For Multi Party Democratic (UMD), Abdallah Tumbo akihutubia katika mkutano huo.
Katibu wa Wilaya ya Kinondoni wa Chama cha UDP, Makoye Ikoles, akizungumza katika mkutano huo.Mwenyekiti wa Wilaya wa Chama cha UPDD, Salim Choya...

 

10 years ago

Habarileo

KKKT kuombea Bunge

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limesema litaendelea pasipo kuchoka kuombea taifa, lifanikishe michakato mbalimbali inayolenga kuimarisha demokrasia kwa mustakabali wa taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Makanisa yaaswa kuombea amani

MAKANISA nchini yametakiwa kuendeleza amani iliyopo kwa kufanya maombi ya kuliombea Taifa ,ili amani iliyopo isivurugwe na baadhi ya watu wachache wasioitakia mema nchi hii.

 

9 years ago

Michuzi

Mikoa 10 kuombea uchaguzi Mkuu

MIKOA 10 ya Tanzania bara, Inatarajia kuombea amani na utulivu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu hapa nchini.Kwa mujibu  wa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama mikoa hiyo itaiombea amani Tanzania kupitia muziki wa Injili kupitia waimbaji mbalimbali  wa ndani na nje ya nchi.
Msama alisema awali kabla ya mikoa hiyo kuombea amani uchaguzi Mkuu, Tamasha la kwanza lenye dhamira hiyo litafanyika Oktoba 4 jijini Dar es Salaam.
“Tumeona kuna umuhimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasali kuombea maisha bora

>Wachungaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekusanyika kwenye  Kiwanja cha Cathedral of Joy International Kiluvya-Gogoni  kuwaombea Watanzania walioumizwa na hali mbaya ya uchumi,  utawala, dini, migongano ya kijamii na kisiasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Temeke kuombea Katiba

MWENYEKITI wa Makanisa ya Kipentekosti Mkoa wa Dar es Salaam, Askofu Bruno Mwakibolwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la maombi ya Taifa kwa ajili ya mchakato wa Katiba mpya....

 

9 years ago

Habarileo

Upendo Nkone kuombea amani

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani