Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makanisa yaaswa kuombea amani

MAKANISA nchini yametakiwa kuendeleza amani iliyopo kwa kufanya maombi ya kuliombea Taifa ,ili amani iliyopo isivurugwe na baadhi ya watu wachache wasioitakia mema nchi hii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Upendo Nkone kuombea amani

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Global Publishers

Askofu Malassy Kuombea Amani Taifa

1.Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akizungumza jambo na kulia kwake ni, Mchungaji wa kanisa hilo, Oliva Mallonga.Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akizungumza jambo na kulia kwake ni Mchungaji wa kanisa hilo, Oliva Mallonga.2.Mchungaji Mallonga (kulia) akionesha vitabu vinavyouzwa.Mchungaji Mallonga (kulia) akionesha vitabu vinavyouzwa.3.Wanahabri wakifuatilia hafla hiyo.Wanahabari wakifuatilia hafla hiyo.4.Askofu Malassy (kushoto) akisoma taarifa yake.Askofu Malassy (kushoto) akisoma taarifa yake.

ASKOFU wa Kanisa la Tanzania Fellowship of Churches, Godfrey Emmanuel Malassy anatarajia kufanya maombi maalum kwa ajili ya mkesha wa kuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, lengo likiwa ni kudumisha amani ya taifa letu.

Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka Watanzania kuombea amani ya Kenya

ASKOFU Julius Salu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mombasa nchini Kenya amewataka Watanzania kuombea amani ya nchi hiyo, kutokana na kuwa na hali mbaya ya kiusalama.

 

9 years ago

Michuzi

Kwaya tatu kuombea amani uchaguzi Mkuu

KWAYA tatu za muziki wa Injili Tanzania zinatarajia kuwa mojawapo ya wadau watakaoiombea amani Tanzania kuelekea uchaguzi Mkuu kupitia Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama pamoja na kwaya hizo maombi hayo ya amani yatashirikisha waimbaji wengine wa Tanzania na nje.Msama alizitaja kwaya hizo ni pamoja na Kwaya ya Uinjilisti ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Kwaya ya Mtakatifu Andrew Anglican ya Dodoma...

 

9 years ago

Mwananchi

Tamasha la kuombea amani lisiruhusu matamko ya kisiasa

Tamasha la kuombea amani linafanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa likishirikisha vikundi mbalimbali vya muziki wa injili, wachungaji na maaskofu.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka waumini kuombea nchi amani

John MwelaASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini, John Mwela amewataka waumini kukazana katika maombi kuiombea nchi isiingie katika machafuko, hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa Katiba mpya na kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho.

 

9 years ago

Michuzi

WACHUNGAJI 200, MAASKOFU 50 KUUNGANA NA JK TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

Na Mwandishi WetuVIONGOZI  wa kiroho 250 wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kikristo wamealikwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani Jumapili wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa kati ya viongozi hao 200 ni Wachungaji na 50 ni Maaskofu.
“Idadi inaweza kuwa kubwa zaidi, lakini hadi sasa niseme hao ndiyo ambao tuna uhakika nao watashiriki katika Tamasha la...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka viongozi wa dini kuombea taifa amani

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Bilal amewataka viongozi na waumini wa dini zote nchini, kuombea taifa ili Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni kwa ajili ya Kkatiba Inayopendekezwa zimalizike kwa amani na utulivu.

 

9 years ago

GPL

DC MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenyekiti wa Wilaya ya Chama cha Union For Multi Party Democratic (UMD), Abdallah Tumbo akihutubia katika mkutano huo. Katibu wa Wilaya ya Kinondoni wa Chama cha UDP, Makoye Ikoles, akizungumza… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani