Sababu ya kukwama reli Arusha-Musoma yatajwa
UGUNDUZI wa madini ya red nickel pamoja na kilometa 13 zinazohitaji daraja katika Ziwa Victoria, ni miongoni mwa mambo yaliyochelewesha ujenzi wa reli mpya ya kutoka Arusha hadi Musoma, imefahamika.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama
WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Sababu za kukwama kwa sekta ya viwanda nchini
>SEKTA ya viwanda ina uwezo mkubwa wa kubadilisha uchumi wa Tanzania na kuwa bora na endelevu kama serikali itachukua hatua ya kubadilisha sera, taratibu na kanuni ili kupata mfumo thabiti wa kuinua viwanda.
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Sababu kipigo cha Cheka yatajwa
Kipigo alichopewa bondia Francis Cheka kimetafsiliwa kwa mitazamo tofauti na baadhi ya wadau wa ngumi za kulipwa huku baadhi wakieleza chanzo kilichomnyima Cheka ushindi kwenye pambano hilo la uzani wa Suiper middle lililofanyika wikiendi iliyopita mjini Morogoro.
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Sababu kifo cha Mgimwa yatajwa
>Wakati mwili wa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa ukitarajiwa kuzikwa leo, Serikali imesema kilichosababisha kifo chake ni ugonjwa wa figo.
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Sababu za ongezeko la VVU Rukwa yatajwa
Kasi ya ongezeko la wageni wanaoingia na kufanya shughuli za kiuchumi mkoani Rukwa imetajwa kwamba ndiyo kiini cha kushamiri kwa biashara ya ngono, hivyo kusababisha ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s72-c/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s1600/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KflJpP97m_E/U7MCleu3tMI/AAAAAAAFuAM/8x2XjBMh9Fs/s72-c/unnamed+(12).jpg)
BIASHARA UNITED MUSOMA YAIBAMIZA POLISI VETERAN YA MUSOMA MABAO 2-0
![](http://1.bp.blogspot.com/-KflJpP97m_E/U7MCleu3tMI/AAAAAAAFuAM/8x2XjBMh9Fs/s1600/unnamed+(12).jpg)
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Reli yawatunuku askari reli watunukiwa
Polisi wa Kikosi cha Reli wametunukiwa zawadi mbalimbali askari ikiwamo vyeti baada ya kukamata shehena ya mataruma na reli vyenye thamani ya zaidi ya Sh285 milioni.
11 years ago
Mwananchi07 Jun
Wazee wazidi kukwama
Mpango wa pensheni kwa wazee unaonekana kuota mbawa baada ya Serikali kueleza kuwa utekelezaji wake ni mgumu ingawa imeahidi kuwa bado inalifanyia kazi jambo hilo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania