Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu kifo cha Mgimwa yatajwa

>Wakati mwili wa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa ukitarajiwa kuzikwa leo, Serikali imesema kilichosababisha  kifo chake ni ugonjwa wa figo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sababu kipigo cha Cheka yatajwa

Kipigo alichopewa bondia Francis Cheka kimetafsiliwa kwa mitazamo tofauti na baadhi ya wadau wa ngumi za kulipwa huku baadhi wakieleza chanzo kilichomnyima Cheka ushindi kwenye pambano hilo la uzani wa Suiper middle lililofanyika wikiendi iliyopita mjini Morogoro.

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA KUAMBIANA SUMU YATAJWA

Stori: OSCAR NDAUKA
KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana  kimeibua mazito ya kutosha, Uwazi limeshika kitu mkononi.
Moja kati ya mazito hayo ni kuwepo kwa madai kwamba marehemu alikula au alilishwa sumu kupitia chakula. Mwili wa mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana ukipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa rafiki mmoja wa karibu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kifo cha Mgimwa pengo sekta ya fedha’

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Biashara ya CRDB, Dk. Charles Kimei, amesema kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa, kimeacha pengo kwenye sekta ya fedha. Dk. Kimei alitoa...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...

Na Mwandishi Wetu
WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...

 

11 years ago

GPL

CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu Afrika Kusini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatuma salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na msaidizi wake wa karibu na mtumishi mwenzake serikalini. Chama kinatoa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

Marehemu Dkt. William Mgimwa.…

 

9 years ago

Mwananchi

Sababu kifo cha Mtikila

Polisi mkoani Pwani, imeweka bayana sababu za kitaalamu za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila ikisema alivunjika mbavu nane upande wa kushoto, damu kuingia kwenye mfumo wa hewa na kushindwa kupumua.

 

9 years ago

Vijimambo

Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila

  Mchungaji Christopher MtikilaKibaha/Dar. Polisi mkoani Pwani, imeweka bayana sababu za kitaalamu za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila ikisema alivunjika mbavu nane upande wa kushoto, damu kuingia kwenye mfumo wa hewa na kushindwa kupumua.

Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.

Katika ajali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani