KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...
![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7p-J*XN4NvpqVJ2DDdmy4dj*BLu2bPiJq*TMtpQQQicWXaYWmsHgpDhlcIdgY-vbtYSPUfSBFSa60EFS45fagMb/mgimwa.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Sababu kifo cha Mgimwa yatajwa
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
‘Kifo cha Mgimwa pengo sekta ya fedha’
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Biashara ya CRDB, Dk. Charles Kimei, amesema kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa, kimeacha pengo kwenye sekta ya fedha. Dk. Kimei alitoa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r-kGNxS-ZQtkx4eFXm5fWrwUJn*8gpHLPpR70VW9*zKkNj770Nsry*zxxADjyAkhvcr9fnzNHhiStkEYnYUyz2/chadema.png?width=350)
CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R18dQGI6uh*OEDQmU*V0WJIDjB5CeRfxoptceqc-YNuRtvwqO1YgLTM9eTokQwwPaFkQBP9KtUrbLguAEQDjHcS/1536668_695124830520391_2134470031_n.jpg)
9 years ago
Vijimambo14 Sep
KIFO CHA MTOI NINI KILITOKEA
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Moha-14Sept2015.png)
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, pamoja na makada wengine wa chama hicho, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi (39), aliyefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika leo saa 7:00 mchana katika kijiji cha...
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Tunajifunza nini kifo cha Betty Ndejembi?
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Miaka 18 ya kifo cha Tupac wasanii mmejifunza nini?