Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHA MTOI NINI KILITOKEA

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, pamoja na makada wengine wa chama hicho, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi (39), aliyefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika leo saa 7:00 mchana katika kijiji cha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KAMANDA MOHAMED MTOI KANYAWANA

Picha ya kampeni ya Mohamed Mtoi wakati anagombea Jimbo la Lushoto Tanga.Pichani Gari ambayo ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana amepatia ajali akitokea kwenye kampeni.
NACHUKUA fursa hii kwa masikitiko makubwa sana kutoa Salamu za Rambirambi kwa Familia na Uongozi wa Juu wa Chadema Makao makuu kwa msiba wa Kamanda mwenzetu, Mpiganaji wa kweli, Kijana mwenzetu Ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana aliyefariki kwa ajali ya Gari iliyotokea huko Tanga.  Kwa kweli bado tulikuwa tunamhitaji sana kamanda...

 

11 years ago

GPL

WEMA, AUNT NINI KILITOKEA PALE MSIBANI?

Diva wa filamu za Kibongo, 'Wema sepetu' akilia wakati wa mazishi ya Kuambiana.
NIMEWAHI kumzungumzia Wema Sepetu mara kadhaa, ingawa hii itakuwa mara yangu ya kwanza kumleta katika safu hii Aunt Ezekiel. Nimeamua kuwazungumzia kwa pamoja kutokana na tukio lililotokea hivi karibuni la kufariki na kuzikwa kwa mmoja wa watu muhimu sana kwenye filamu Tanzania, Adam Kuambiana. Nimemfahamu Wema kwa muda mrefu kidogo, tokea pale...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii

Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya ‘haturudi nyuma’ ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya Radio za Tanzania, sasa juzi zikatufikia habari kwamba Kidumu ameokoka na sasa hatoonekana akiimba muziki tuliozoea kumuona nao, ni kweli? ni kitu gani kilitokea hasa? […]

The post Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunajifunza nini kifo cha Betty Ndejembi?

Betty Ndejembi ni msichana mrembo na mwanamitindo ambaye anatumia sana huduma za mitandao ya kijamii kwa ajili ya shughuli zake mbalimbali za kujiingizia kipato na kujitangaza zaidi.

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...

Na Mwandishi Wetu
WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 18 ya kifo cha Tupac wasanii mmejifunza nini?

Leo dunia nzima inaadhimisha miaka 18 ya kifo cha nguli wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kuitikisa dunia ya vijana kwa miaka isiyozidi minane akiwa kinara na kisha kuaga dunia kwa kupigwa risasi na mahasimu wake na kufariki dunia siku ya saba baada ya kupoteza damu nyingi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Tanzania 2020: Nini mustakabali wa upinzani baada ya 'kifo' cha UKAWA?

Je, hatima ya uliokuwa muungano wa vyama vya upinzani UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) 'ulishazikwa rasmi'.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Tunafahamu nini kuhusu maafisa 4 wa polisi waliohusika?

Wako wapi maafisa wengine watatu waliokuwepo wakati wa kukamatwa kwa George Floyd na kushuhudia Derek Chauvin akimzuilia chini kwa kutumia goti lake?

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani