Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii

Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya ‘haturudi nyuma’ ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya Radio za Tanzania, sasa juzi zikatufikia habari kwamba Kidumu ameokoka na sasa hatoonekana akiimba muziki tuliozoea kumuona nao, ni kweli? ni kitu gani kilitokea hasa? […]

The post Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIFO CHA MTOI NINI KILITOKEA

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, pamoja na makada wengine wa chama hicho, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi (39), aliyefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika leo saa 7:00 mchana katika kijiji cha...

 

11 years ago

GPL

WEMA, AUNT NINI KILITOKEA PALE MSIBANI?

Diva wa filamu za Kibongo, 'Wema sepetu' akilia wakati wa mazishi ya Kuambiana.
NIMEWAHI kumzungumzia Wema Sepetu mara kadhaa, ingawa hii itakuwa mara yangu ya kwanza kumleta katika safu hii Aunt Ezekiel. Nimeamua kuwazungumzia kwa pamoja kutokana na tukio lililotokea hivi karibuni la kufariki na kuzikwa kwa mmoja wa watu muhimu sana kwenye filamu Tanzania, Adam Kuambiana. Nimemfahamu Wema kwa muda mrefu kidogo, tokea pale...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nini hasa fahari ya waimbaji wa Injili?

”KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika…” Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...

 

10 years ago

Press

Dodoma; Nini hasa ni kivutio katika mji huu?

 dodoma 1

  Si jambo geni mtu kuhisi Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania, hii ni kutokana na miji mikuu mingi kuwa na idadi kubwa ya watu, vivutio vingi, kukua kimaendeleo na uwepo wa ofisi nyingi za kiserikali.

Dodoma ilijipatia umaarufu wake na kutambulika kama mji mkuu mwaka 1973, hivyo ofisi nyingi zilianza kuhamishia makazi yake ndani ya mji huu, ambapo pia Bunge la Tanzania liliweka makazi yake na kusababisha ongezeko la watu wengi na watumishi wa serikali kutoka mikoa mingine kwa kila...

 

10 years ago

Press

Dodoma; Nini hasa ni kivutio katika mji huu?

Untitled 0

Si jambo geni mtu kuhisi Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania, hii ni kutokana na miji mikuu mingi kuwa na idadi kubwa ya watu, vivutio vingi, kukua kimaendeleo na uwepo wa ofisi nyingi za kiserikali.

Dodoma ilijipatia umaarufu wake na kutambulika kama mji mkuu mwaka 1973, hivyo ofisi nyingi zilianza kuhamishia makazi yake ndani ya mji huu, ambapo pia Bunge la Tanzania liliweka makazi yake na kusababisha ongezeko la watu wengi na watumishi wa serikali kutoka mikoa mingine kwa kila msimu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Je, unadhani nini hasa chanzo cha umaskini Tanzania?


Tanzanite, Dhahabu, makaa ya mawe, almasi, urani, Mbuga za wanyama kama vile serengeti, Manyara, Ngorongoro, ardhi yenye rutuba, Mlima Kilimanjaro, maziwa makubwa matatu, bahari ya hindi na utajiri mwingine mwingi, hivi vyote vinapatikana ndani ya Tanzania lakini ajabu wananchi wake wengi ni maskini sana.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nini hasa ni kivutio katika mji aliozaliwa hayati Mwl. Julius K Nyerere?

nyerere 1

Butiama ni mji uliopo kaskazini mwa Tanzania, katika wilaya ya Musoma mkoa wa Mara.  Mahala hapa ndipo alipozaliwa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(Baba wa Taifa), ambapo leo ni siku ya kukumbuku ya kifo chake (13 April 1922-14 Octoba 1999)

Kijiji hiki kina historia Kubwa ambapo leo imekuwa siku muhimu ya kukumbuka mahala alipozaliwa shujaa wa Tanzania aliyepelekea uhuru na umoja wa nchi yetu.

Ndani ya kijiji cha Butiama kuna vingi...

 

11 years ago

GPL

SHOGA, UMEMLETA MWENYEWE NDANI, UNAKIMBIA NINI?

JAMANI hamjambo naona viroho vinawadunda baada ya kuufunua  ukurasa huu na kujiuliza leo kombora linaangukia kwa nani? Jamani narudia sipo kwa ajili ya kuwarusha roho bali mtajirusha wenyewe kutokana na tabia zenu mbaya. Nia yangu ni kumuona mwanamke mwenzangu mambo ya kike hayampiti kando.
Jamani kuna mambo mengine yanasikitisha, hivi kwa nini umuogope mwanamke mwenzio mwenye viungo kama wewe? Juzi nilikutana na mtoto wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO SIASA ONA MWENYEWE LOWASSA AKIMNADI KUBENEA


Juu ni Kubenea akinyanyuliwa mkono na Lowassa kunadiwa kwa kiti cha Ubunge Ubungo mwaka 2015. Chini ni makala aliyowahi kuandika Kubenea kuhusu Edward Lowassa.Mabilioni yatengwa kumsafisha Lowassa

Na Saed Kubenea
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowassa ameelezwa kuwa na mradi wa karibu Sh. 8 bilioni wa “kujisafisha” na kumwingiza ikulu.Lowassa alipoulizwa na gazeti hili kuhusu mradi huo, alijibu kwa mkato, “Mimi sijui.”MwanaHALISI limeelezwa kwamba fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani