Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, UMEMLETA MWENYEWE NDANI, UNAKIMBIA NINI?

JAMANI hamjambo naona viroho vinawadunda baada ya kuufunua  ukurasa huu na kujiuliza leo kombora linaangukia kwa nani? Jamani narudia sipo kwa ajili ya kuwarusha roho bali mtajirusha wenyewe kutokana na tabia zenu mbaya. Nia yangu ni kumuona mwanamke mwenzangu mambo ya kike hayampiti kando.
Jamani kuna mambo mengine yanasikitisha, hivi kwa nini umuogope mwanamke mwenzio mwenye viungo kama wewe? Juzi nilikutana na mtoto wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA, NYUMBA NDOGO UMEZITAKA MWENYEWE

Jamani hamjambo naona viroho vinawadunda baada ya kuufunua  ukurasa huu na kujiuliza leo kombora linaangukia kwa nani? Jamani narudia sipo kwa ajili ya kuwarusha roho bali mtajirusha wenyewe kutokana na tabia zenu mbaya. Nia yangu ni ile kumuona mwanamke wenzangu mambo ya kike hayampiti kando. Jamani kuna mambo mengine yanasikitisha, hivi kwa nini umuogope mwanamke mwenzio mwenye viungo kama wewe. Wiki iliyopita nilielezea...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo vizuri sana kuanzia kiafya pamoja na kiuchumi.
Shoga, kabla sijaanza kukueleza nilichokuandalia leo, napenda kumpa pole mama wa mabinti wawili wakazi wa mkoani Pwani kwa masaibu yaliyowapata ya kubakwa na baba yao mzazi. Hakika tukio hilo limenihuzunisha sana mbaya zaidi ni pale baadhi ya ndugu wa mumewe wanampomtishia maisha mama huyo kwa kitendo cha kumfikisha mumewe kwenye...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?

Kama ilivyoada binadamu kujuliana hali, napenda kuwafahamisha kwamba hali yangu ni nzuri sijui kwa upande wenu.
Shoga zangu, kwa kuwa nchi yetu inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais utakaofanyika Oktoba mwaka huu, napenda kuwashauri msijiweke mbali na kila kinachojiri kuhusiana na ishu hiyo ili kuelewa mambo mbalimbali ya kisiasa kabla ya kuwachagua viongozi wetu hususan rais. Leo shoga zangu nimekuja na...

 

9 years ago

GPL

SHOGA: UNA VYUMBA VIWILI, NDUGUZO WA NINI?

Vipi mambo shoga yangu! Ni matumaini yangu kwamba afya yako ni njema na umeanza kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni kuwasikia wagombea wa udiwani, ubunge na urais wanavyomwaga sera zao. Kama bado hujaanza jitahidi kuhudhuria katika mikutano hiyo ili siku ya uchaguzi Oktoba 25, u mchague kiongozi sahihi.
Baada ya kusema hayo, ngoja nirejee kwenye jambo ambalo nimekuguswa kuzungumza nawe linalohusu kuwarundika nduguzo katika...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, CHAKULA ULE WEWE KWA NINI UWAKERE WENZAKO?

Shoga zangu, leo nitazunguma nanyi ‘topiki’ inayohuwahusu wenzetu wanaoishi katika nyumba ambazo hazina silingibodi.Naamini hakuna mtu asiyejua maana ya silingibodi, kama wapo ambao nitakuwa nimewaacha hewani, namaanisha wenzetu wanaoishi kwenye nyumba ambazo darini hakujazibwa. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1GiCHTx

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii

Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya ‘haturudi nyuma’ ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya Radio za Tanzania, sasa juzi zikatufikia habari kwamba Kidumu ameokoka na sasa hatoonekana akiimba muziki tuliozoea kumuona nao, ni kweli? ni kitu gani kilitokea hasa? […]

The post Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

Mwananchi

Nini majaliwa ya Zitto ndani ya Chadema?

>Baada ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kuibuka kidedea katika pingamizi lake la kuvuliwa uanachama hivi karibuni, macho na masikio sasa yameelekezwa kwenye hatima yake ndani ya chama hicho.

 

9 years ago

Dewji Blog

Nini kifanyike katika Sekta ya utalii ndani ya utawala unaokuja? 2015-2025

utawala unaokuja

Tanzania katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, 2005-2015, imeweza kukuza uchumi wake kupitia sekta ya utalii, hasa kwa kuwa na maendeleo makubwa katika kuongeza ajira, ongezeko la fedha za kigeni na kuifanya nchi kutambulika kitaifa.

Sekta ya utalii Tanzania 2014, iliweza kuongeza pato la taifa kwa 14%, ambapo ni sawa na billioni za Kitanzania 8,252.7 na kukadiriwa kupanda kwa 1.3%mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2015. Kwa upande mwingine sekta hii haijafanya vizuri zaidi ukiringanisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani