Nini kifanyike katika Sekta ya utalii ndani ya utawala unaokuja? 2015-2025
Tanzania katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, 2005-2015, imeweza kukuza uchumi wake kupitia sekta ya utalii, hasa kwa kuwa na maendeleo makubwa katika kuongeza ajira, ongezeko la fedha za kigeni na kuifanya nchi kutambulika kitaifa.
Sekta ya utalii Tanzania 2014, iliweza kuongeza pato la taifa kwa 14%, ambapo ni sawa na billioni za Kitanzania 8,252.7 na kukadiriwa kupanda kwa 1.3%mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2015. Kwa upande mwingine sekta hii haijafanya vizuri zaidi ukiringanisha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Sekta ya Maliasili na Utalii ndani ya Utawala Mpya
Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii.
Siku chache zimepita Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipomalizia kujaza nafasi za Mawaziri na Naibu Waziri zilizobakia wakati alipotangaza baraza lake la Mawaziri la serikali ya awamu ya tano.
Katika uteuzi wake, Kampuni ya JovagoTanzania inapendelea kumpa pongezi Profesa Jumanne Maghembe, ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika wa serikali ya mpya ya awamu ya tano.
Kwa upande wake, Bw. Andrea Guzzoni, Meneja Mkazi...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.
Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Umuhimu wa wafanyakazi wenye ujuzi ndani ya sekta ya utalii
Meneja Mkazi wa kampuni ya JovagoTanzania, Bw. Andrea Guzzoni.
“Maendeleo ndani ya sekta ya Utalii hayawezi kufikia kiwango nzuri iwapo hakutakuwa na wafanyakazi wenye ujuzi wa kutosha”
Kukua kwa sekta ya utalii kunategemea hudumu za ukarimu kwa kiasi kikubwa. Huduma hizi zinapaswa kufanywa na wajuzi waliobobea ndani ya sekta ili kuweza kuwaridhisha wageni na kuleta maendeleo katika soko hili la utalii.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Meneja Mkazi wa kampuni ya...
10 years ago
Dewji Blog02 Nov
Je! Kuna mategemeo chanya katika sekta ya utalii katika serikali ya awamu ya tano?
Dr. John Pombe Magufuli, mshindi wa kiti cha Urais Tanzania.
Ni siku chache tu zimepita tangu Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza mgombea wa kiti cha Urais Dr.John Pombe Magufuli kuwa ndiye mshindi aliyeongoza kwa kura za asilimia 58.46% ya jumla za kura halali katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015.
Andrea Guzzoni Meneja mkazi wa JovagoTanzania, ametoa pongezi katika kipindi kizima cha shughuli za uchaguzi ambapo Tume ya Uchaguzi na...
5 years ago
Zitto Kabwe, MB13 Feb
Nini kifanyike Tanzania?
Nini kifanyike Tanzania?
Zitto Kabwe
Hali yetu ya sasa
Ni dhahiri kuwa hofu imetanda miongoni mwa Watanzania. Ingawa watawala na mashabiki wao hukanusha jambo hili, ukweli ni kuwa nina amini wao wenyewe ndani ya mioyo yao wanakiri kuwa nchi sasa inaendeshwa kwa hofu na wananchi wamejaa hofu kubwa.
Hivi sasa mwananchi akifanya jambo lolote linaloonekana kuwa kinyume na fikra za watawala, wenzake wanamtazama kwa jicho kuwa atakuwa mhanga wa vitisho, mateso, kutekwa, kupotea ama kubambikiwa...
11 years ago
Ykileo
UHALIFU MTANDAO NI TISHIO - NINI KIFANYIKE?

10 years ago
Mwananchi27 Nov
Kifanyike nini mihimili ya dola inapokinzana?
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Nini kifanyike kuboresha elimu nchini?
ELIMU ni njia inayotumiwa na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Walimu katika taasisi za elimu huratibisha elimu ya wanafunzi wao kupitia masomo ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Nini kifanyike kuzuia unene kupita kiasi?
MAFUTA ni kiungo muhimu kinachokipa chakula hadhi na kutengeneza ladha nzuri. Pia hutoa vitamini muhimu na vitamini-mafuta mumunyifu. Bila shaka kila mtu anafurahia kula vyakula vya kukaanga na vyenye jibini,...