Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini hasa ni kivutio katika mji aliozaliwa hayati Mwl. Julius K Nyerere?

nyerere 1

Butiama ni mji uliopo kaskazini mwa Tanzania, katika wilaya ya Musoma mkoa wa Mara.  Mahala hapa ndipo alipozaliwa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(Baba wa Taifa), ambapo leo ni siku ya kukumbuku ya kifo chake (13 April 1922-14 Octoba 1999)

Kijiji hiki kina historia Kubwa ambapo leo imekuwa siku muhimu ya kukumbuka mahala alipozaliwa shujaa wa Tanzania aliyepelekea uhuru na umoja wa nchi yetu.

Ndani ya kijiji cha Butiama kuna vingi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Press

Dodoma; Nini hasa ni kivutio katika mji huu?

Untitled 0

Si jambo geni mtu kuhisi Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania, hii ni kutokana na miji mikuu mingi kuwa na idadi kubwa ya watu, vivutio vingi, kukua kimaendeleo na uwepo wa ofisi nyingi za kiserikali.

Dodoma ilijipatia umaarufu wake na kutambulika kama mji mkuu mwaka 1973, hivyo ofisi nyingi zilianza kuhamishia makazi yake ndani ya mji huu, ambapo pia Bunge la Tanzania liliweka makazi yake na kusababisha ongezeko la watu wengi na watumishi wa serikali kutoka mikoa mingine kwa kila msimu wa...

 

9 years ago

Press

Dodoma; Nini hasa ni kivutio katika mji huu?

 dodoma 1

  Si jambo geni mtu kuhisi Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania, hii ni kutokana na miji mikuu mingi kuwa na idadi kubwa ya watu, vivutio vingi, kukua kimaendeleo na uwepo wa ofisi nyingi za kiserikali.

Dodoma ilijipatia umaarufu wake na kutambulika kama mji mkuu mwaka 1973, hivyo ofisi nyingi zilianza kuhamishia makazi yake ndani ya mji huu, ambapo pia Bunge la Tanzania liliweka makazi yake na kusababisha ongezeko la watu wengi na watumishi wa serikali kutoka mikoa mingine kwa kila...

 

11 years ago

AllAfrica.Com

Let MWL Julius Nyerere's Path to Sainthood Be Smooth


Let MWL Julius Nyerere's Path to Sainthood Be Smooth
AllAfrica.com
IF there was an institution to abhor the founding father of Tanzania, the late Mwalimu Julius Nyerere, it would have been the Catholic Church. Yet it is the same establishment that opened the case for his beautification in 2005 towards canonization, six years ...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

BBCSwahili

Ungemuuliza nini hayati Nyerere angelikuwa hai ?

Leo ni sikukuu hapa nchini Tanzania raia wanaadhimisha maisha ya baba wa taifa hayati Julius Nyerere. Baadhi wamekuwa wakitoa maswali yao

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

5 years ago

Michuzi

RPC KILIMANJARO NA RIO KILIMANJARO WAKIANGALIA GARI LILILOTUMIWA NA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUTAFUTA UHURU WA TANGANYIKA

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi  Salum Hamduni, akiangalia mandhari ya ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi  Salum Hamduni, akimuonyesha Mkuu wa Uhamiaji, Mkoa wa ...

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, JIJINI DAR ES SALAAM
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete
WAGENI WAALIKWA:
Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:
Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani