Ungemuuliza nini hayati Nyerere angelikuwa hai ?
Leo ni sikukuu hapa nchini Tanzania raia wanaadhimisha maisha ya baba wa taifa hayati Julius Nyerere. Baadhi wamekuwa wakitoa maswali yao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Oct
Nini hasa ni kivutio katika mji aliozaliwa hayati Mwl. Julius K Nyerere?
Butiama ni mji uliopo kaskazini mwa Tanzania, katika wilaya ya Musoma mkoa wa Mara. Mahala hapa ndipo alipozaliwa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(Baba wa Taifa), ambapo leo ni siku ya kukumbuku ya kifo chake (13 April 1922-14 Octoba 1999)
Kijiji hiki kina historia Kubwa ambapo leo imekuwa siku muhimu ya kukumbuka mahala alipozaliwa shujaa wa Tanzania aliyepelekea uhuru na umoja wa nchi yetu.
Ndani ya kijiji cha Butiama kuna vingi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-z_kgNZloIb4/VRkoNje0ZEI/AAAAAAAAHBk/bgO7BrLevv4/s72-c/Tuzo%2Bya%2Bjamii.jpg)
TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-z_kgNZloIb4/VRkoNje0ZEI/AAAAAAAAHBk/bgO7BrLevv4/s1600/Tuzo%2Bya%2Bjamii.jpg)
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete
WAGENI WAALIKWA:
Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:
Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/pGq8KulVrEk/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9040ejmJuF4/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
VIDEO: Rais Dkt. Magufuli amerudisha enzi za hayati Karume na Nyerere – Mzee Kundiheri
Majaaliwa ya Zanzibar yako mikononi mwa Rais Magufuli Namwomba anitafutie Zanzibar ilikojichimbia naimani huyu ataniletea Zanzibar mpya huyu hyuu aliibusu picha kwa furaha Mzee Kundi Kheri. Tazama video hii hapa chini.
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Mama Maria Nyerere asema yuko hai
5 years ago
MichuziRPC KILIMANJARO NA RIO KILIMANJARO WAKIANGALIA GARI LILILOTUMIWA NA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUTAFUTA UHURU WA TANGANYIKA
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Kwa nini Nyerere hana mrithi wa urais CCM ?
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Mtei: Kwa nini Nyerere alikataa kugeuka jiwe