RAIS DKT. MAGUFULI AMERUDISHA ENZI ZA HAYATI KARUME NA NYERERE - MZEE KUNDIHERI
![](http://img.youtube.com/vi/9040ejmJuF4/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
VIDEO: Rais Dkt. Magufuli amerudisha enzi za hayati Karume na Nyerere – Mzee Kundiheri
Majaaliwa ya Zanzibar yako mikononi mwa Rais Magufuli Namwomba anitafutie Zanzibar ilikojichimbia naimani huyu ataniletea Zanzibar mpya huyu hyuu aliibusu picha kwa furaha Mzee Kundi Kheri. Tazama video hii hapa chini.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9040ejmJuF4/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3t14ZUbXA5U/XoyGgnAhxuI/AAAAAAALmYI/kIiOLZ-tk4UB5iN2PplcuaUX4NYck7DlwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0250-768x517.jpg)
WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME
![](https://1.bp.blogspot.com/-3t14ZUbXA5U/XoyGgnAhxuI/AAAAAAALmYI/kIiOLZ-tk4UB5iN2PplcuaUX4NYck7DlwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_0250-768x517.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mihayo Juma Nhunga (kushoto), wakati akiwasili kwenye uwanja wa Abeid Amani Karume, kumwakilisha Rais Magufuli, kwenye dua ya kumuombea aliyekua Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020....
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BrUUwa8KEf0/XtfqZBFMsxI/AAAAAAALsiw/9oRG0TFti3gJZ5Vk92bjB07b4JTY6Us6ACLcBGAsYHQ/s72-c/f132b7f8-7047-4dc7-a7fa-e51c075d77fa.jpg)
Rais Magufuli akutana na Rais Shein, Mzee Mangula na Dkt. Bashiru, Ikulu Chamwino
![](https://1.bp.blogspot.com/-BrUUwa8KEf0/XtfqZBFMsxI/AAAAAAALsiw/9oRG0TFti3gJZ5Vk92bjB07b4JTY6Us6ACLcBGAsYHQ/s640/f132b7f8-7047-4dc7-a7fa-e51c075d77fa.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/5f01b2b2-546a-440f-b6d3-f380fd3735e4.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-z_kgNZloIb4/VRkoNje0ZEI/AAAAAAAAHBk/bgO7BrLevv4/s72-c/Tuzo%2Bya%2Bjamii.jpg)
TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-z_kgNZloIb4/VRkoNje0ZEI/AAAAAAAAHBk/bgO7BrLevv4/s1600/Tuzo%2Bya%2Bjamii.jpg)
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete
WAGENI WAALIKWA:
Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:
Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-jB9FWRS1DJQ/VhJSPk0tQmI/AAAAAAAH9AE/wyJqhp2ZyQ8/s72-c/ke1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA
Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TVe0FzaeEpA/VSOwAJ8Pg8I/AAAAAAAHPfE/NfEhW-QQ8tg/s72-c/IMG_0185.jpg)
DKT SHEIN AONGOZA KISOMO CHA HITMA YA KUMUOMBEA MZEE ABEID AMAAN KARUME ZANZIBAR
Na Rajab Mkasaba, Ikulu ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein Jana ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar. Hitma hiyo, ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Kharib Bilal, Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Sita, Mhe. Amani Abeid Karume,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZtOGzTt3gSI/VZAKEZH7eoI/AAAAAAAHlIM/LHZwDR6L0AA/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Kutoka Maktaba. DKT JOHN POMBE MAGUFULI ENZI ZA UJANA WAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZtOGzTt3gSI/VZAKEZH7eoI/AAAAAAAHlIM/LHZwDR6L0AA/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 Jun
Balozi Karume: Hatutaki Rais ‘ndiyo mzee’
>Mwanadiplomasia mashuhuri visiwani Zanzibar, Balozi Ali Karume ametangaza nia ya kuchukua fomu ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania