Balozi Karume: Hatutaki Rais ‘ndiyo mzee’
>Mwanadiplomasia mashuhuri visiwani Zanzibar, Balozi Ali Karume ametangaza nia ya kuchukua fomu ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3t14ZUbXA5U/XoyGgnAhxuI/AAAAAAALmYI/kIiOLZ-tk4UB5iN2PplcuaUX4NYck7DlwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0250-768x517.jpg)
WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME
![](https://1.bp.blogspot.com/-3t14ZUbXA5U/XoyGgnAhxuI/AAAAAAALmYI/kIiOLZ-tk4UB5iN2PplcuaUX4NYck7DlwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_0250-768x517.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mihayo Juma Nhunga (kushoto), wakati akiwasili kwenye uwanja wa Abeid Amani Karume, kumwakilisha Rais Magufuli, kwenye dua ya kumuombea aliyekua Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020....
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9040ejmJuF4/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
VIDEO: Rais Dkt. Magufuli amerudisha enzi za hayati Karume na Nyerere – Mzee Kundiheri
Majaaliwa ya Zanzibar yako mikononi mwa Rais Magufuli Namwomba anitafutie Zanzibar ilikojichimbia naimani huyu ataniletea Zanzibar mpya huyu hyuu aliibusu picha kwa furaha Mzee Kundi Kheri. Tazama video hii hapa chini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-q8XUDTlp8wU/XoyFypuRDxI/AAAAAAALmYA/2QAFrzlyKTkMcyR7SZkxRkq-UMgC6N4PwCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC1422AAA-768x413.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-q8XUDTlp8wU/XoyFypuRDxI/AAAAAAALmYA/2QAFrzlyKTkMcyR7SZkxRkq-UMgC6N4PwCLcBGAsYHQ/s640/DSC1422AAA-768x413.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/DSC1428AAAA-1024x609.jpg)
11 years ago
Habarileo07 Jan
‘Mzee Karume alikuwa mtu wa maamuzi magumu’
RAIS wa Kwanza wa Zanzibar, hayati Abeid Amaan Karume anatajwa kuwa mfano wa kuigwa wa kufikia maamuzi magumu.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h1J9axrKcFk/U0K1APhmxcI/AAAAAAAFZM0/Apd4yl4blF4/s72-c/IMG_9895.jpg)
HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-h1J9axrKcFk/U0K1APhmxcI/AAAAAAAFZM0/Apd4yl4blF4/s1600/IMG_9895.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--nKN_-Jgag0/U0K1AAsB7VI/AAAAAAAFZM8/gdz5u_Jz_-0/s1600/IMG_9912.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Apr
Hitma ya Marehemu Mzee Karume yasomwa mapema leo Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-TVe0FzaeEpA/VSOwAJ8Pg8I/AAAAAAAHPfE/NfEhW-QQ8tg/s1600/IMG_0185.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-aJPiFNj1gcU/VSOwACyhPDI/AAAAAAAHPfM/EWtbePaOeD4/s1600/IMG_0199.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9040ejmJuF4/default.jpg)
10 years ago
Habarileo01 Jun
Balozi Karume kutangaza nia leo
JOTO la urais wa awamu ya tano linazidi kupanda miongoni mwa makada wa CCM, baada ya baadhi yao kuanza kutangaza nia, na leo Balozi mstaafu Ali Karume anatarajiwa kufanya hivyo, akilenga kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu.