Kwa nini Nyerere hana mrithi wa urais CCM ?
Mwalimu Nyerere ameacha sifa nyingi za uongozi katika historia ya Tanzania. Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassani Mwinyi alimwita mlima na yeye akajiita kichuguu na wengine tumebaki na Baba wa Taifa kama neno la jumla la heshima yake kitaifa. Hata wanawe humwita Baba wa Taifa na siyo baba yao. Hili nalo ni kumpambanua kwa haiba na wababa wengine wa familia na koo za Kiafrika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Mtei: Kwa nini Nyerere alikataa kugeuka jiwe
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YllZww4Up88/VWczIVqfgyI/AAAAAAAAeDY/0i9b4xs7M1A/s72-c/1.jpg)
Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama
![](http://2.bp.blogspot.com/-YllZww4Up88/VWczIVqfgyI/AAAAAAAAeDY/0i9b4xs7M1A/s640/1.jpg)
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Hawa walimsaliti Mwalimu Nyerere uteuzi wa mrithi aliyemtaka
KATIKA Toleo Na.348 la Desemba 30 - Januari 5, mwaka huu, Mwandishi na Mhariri wa Gazeti hili, Ez
Joseph Mihangwa
10 years ago
Vijimambo11 Nov
Sumaye:Kwa nini najitosa kusaka urais
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/frederick-sumaye.jpg)
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ametaja sababu tatu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akieleza kuwa mojawapo ni kukuza uchumi unaogusa maisha ya Watanzania wengi.
Akizungumza na NIPASHE wiki iliyopita katika mahojiano maalum nyumbani kwake Kiluvya, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Sumaye (64), alisema suala la pili linalomsukuma kuwania nafasi ya kuwa mkuu wa nchi ni vita dhidi ya rushwa, ufisadi na dawa za kulevya.
Alitaja...
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Kirchner asusia hafla ya kumkabidhi mrithi urais
9 years ago
Vijimambo08 Sep
Sababu 10 kwa nini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015
![](https://scontent-ord1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xtf1/v/t1.0-9/p370x247/11144957_129316837414388_86398213818538964_n.jpg?oh=87738b120642bdb8e22cd3c3766bfbfc&oe=5661D597)
Uchaguzi Mkuu
1. Tanzania bara na visiwani yako majimbo ya uchaguzi 266, CCM imesimamisha wagombea Ubunge katika majimbo yote 266 huku Chadema na washirika wake wa Ukawa wakiwa wamesimamisha wagombea katika majimbo 211 (138 toka Chadema). Kati ya majimbo hayo 266, CCM tayari imepita bila kupingwa majimbo 7. Ukichukua majimbo 259 yaliyobaki na kutoa 211 ambayo Chadema na washirika wake wamesimamisha wagombea unabaki na majimbo 48 ambayo CCM haina upinzani wa Chadema wala washirika wake wa...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-IsjuYXA4MIg/Vfidy64cnfI/AAAAAAAD7oU/IhQ-etKR-KI/s72-c/Trump.jpg)
MJUE MGOMBEA WA KITI CHA URAIS WA MAREKANI NA NINI TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-IsjuYXA4MIg/Vfidy64cnfI/AAAAAAAD7oU/IhQ-etKR-KI/s640/Trump.jpg)
Na Mwandishi Maalum
Wakati mdahalo wa pili wa wagombea wa chama cha Republican unasubiriwa kwa hamu usiku wa Jumatano tarehe 16 Septemba, ni vyema kuandika machache kuhusu mgombea Donald Trump ambaye anaendelea kuongoza kura za maoni katika kundi kubwa la wagombea wa chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuingia Ikulu ya Marekani mwishoni mwa mwaka kesho. Katika kuchambua harakati za Bwana Trump za kuusaka uongozi wa juu wa taifa la Marekani pia tumejaribu...
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Kwa nini Lowassa amekuwa mwiba kwa CCM?
YAMEANDIKWA na yanaendelea kuandikwa mengi kuhusu Edward Lowassa kuanza kampeni za kugombea urais mwaka 2015. Yasemekana ‘amewaweka sawa’ wenyeviti na wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CCM ili wamuunge mkono...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Hofu ya CCM kwa UKAWA ni nini?
WAHENGA hawakukosea waliposema “Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.” Ni nasaha inayotukumbusha umuhimu wa kushirikiana na binadamu wenzetu maishani katika mambo tufanyayo. Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni muungano...