Kirchner asusia hafla ya kumkabidhi mrithi urais
Cristina Fernandez de Kirchner anayeondoka madarakani Argentina amesusia hafla ya kumkabidhi mamlaka mrithi wake Mauricio Macri.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
Argentina kuchagua mrithi wa Kirchner
Wapiga kura nchini Argentina wanachagua rais mpya kwenye uchaguzi mkuu utakaofikisha kikomo uongozi wa familia ya Kirchner wa miaka 12.
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Kwa nini Nyerere hana mrithi wa urais CCM ?
Mwalimu Nyerere ameacha sifa nyingi za uongozi katika historia ya Tanzania. Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassani Mwinyi alimwita mlima na yeye akajiita kichuguu na wengine tumebaki na Baba wa Taifa kama neno la jumla la heshima yake kitaifa. Hata wanawe humwita Baba wa Taifa na siyo baba yao. Hili nalo ni kumpambanua kwa haiba na wababa wengine wa familia na koo za Kiafrika.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bK_3to-kb58/default.jpg)
HAFLA YA KUKABIDHI CHETI CHA MSHINDI WA URAIS 2015
Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam; Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; Hafla MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;https://youtu.be/Lg8d2m1YwgE STAR TV: Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais...
10 years ago
MichuziMaandalizi ya hafla ya Mh Samuel Sitta kutangaza nia ya kugombea urais yaiva mkoani Tabora leo.
Habari na picha kwa hisani ya Mkala Fundikira wa TBN central zone
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Diwani wa CCM asusia kikao
Diwani wa Kata ya Usagara (CCM), Callos Hizza katikati ya wiki hii alitoka nje wakati Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Tanga ukiendelea kama ishara ya kupinga kupitishwa mchoro wa Ramani ya Usagara Mashariki, akidai umelenga kupora eneo la kata yake.
10 years ago
BBCSwahili30 May
Gill asusia wadhfa wa FIfa
Naibu mwenyekiti wa shirikisho la soka la Uingereza amekataa kuhudumu kama mwanakamati wa FIFA Sepp Blatter akiwa Rais
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Afghanistan:Abdullah asusia hesabu ya kura
Wawakilishi wa mgombe urais katika Uchaguzi wa Afghanistan Abdullah Abdullah wamesusia shughuli ya ukaguzi wa kura
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mugabe asusia mkutano kuhusu CAR
Rais Robert Mugabe amesusia kongamano kuhusu hali katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati nchini Ubelgiji baada ya Muungano wa Ulaya kumnyima Visa mkewe Grace.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFlfVPemD6qFml38j6b8d-D6NVaF7CfHX8346bwoS2loC5zYclaQaXXPGwMSI4Aq8qHhxmP65be15WLS5ud3UdFO/HAMISIKIIZA.jpg?width=650)
VODACOM KUMKABIDHI KIIZA KITITA CHAKE
Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza. MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza, anatarajiwa kukabidhiwa zawadi yake ya Sh milioni 1/-ya Mchezaji Bora wa Mwezi na wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, baada ya kuibuka kidedea Septemba. Kiiza alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Septemba baada ya kufanya vema katika mwezi wa kwanza wa ligi hiyo, akiisaidia timu yake ya Simba...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania