Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Argentina kuchagua mrithi wa Kirchner

Wapiga kura nchini Argentina wanachagua rais mpya kwenye uchaguzi mkuu utakaofikisha kikomo uongozi wa familia ya Kirchner wa miaka 12.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kirchner asusia hafla ya kumkabidhi mrithi urais

Cristina Fernandez de Kirchner anayeondoka madarakani Argentina amesusia hafla ya kumkabidhi mamlaka mrithi wake Mauricio Macri.

 

11 years ago

Bongo5

Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13

Timu ya soka ya Argentina imejikatia tiketi ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka 1990 baada ya kuilaza timu ya Uholanzi kwa goli 4-2, ambapo fainali itachuana na Ujerumani july 13 siku ya jumapili. Katika mchezo huo wa nusu fainali wa jana, Argentina na Uholanzi zilitoka sare tasa baada ya muda wa kawaida […]

 

10 years ago

Mwananchi

Ajenda 10 za mrithi wa JK

>Wakati mjadala wa majina ya watu wanaotaka kuwania urais umepamba moto, baadhi ya wasomi, wachambuzi na wasomaji wa gazeti hili wamesema badala ya kukimbilia majina, wagombea hao wanatakiwa kueleza jinsi gani watakavyokabiliana na ajenda 10 muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wamsaka mrithi wa Lowassa

Katibu Mwenezi wa CCM mkoani Arusha, Isaack Joseph ametangaza kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea ubunge katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha.

 

9 years ago

Habarileo

Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga

UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mrithi wa Prof. Mwakyusa aandaliwa

WANANCHI wilayani Rungwe, Mbeya wamemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mbeya mjini, John Mwambigija kugombea Ubunge kuchukua nafasi ya Profesa David Mwakyusa (CCM). Wakizungumza kwa nyakati tofauti...

 

10 years ago

GPL

PENNY LIVE NA MRITHI WA DIAMOND

Mwandishi wetu/ijumaawikienda
Live! Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’, baada ya kukaa muda mrefu akiwa ‘singo’ tangu aachane na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kupata mrithi wa msanii huyo aliyetajwa kwa jina moja la Swedi. Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa na Swedi. Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage kupata mrithi leo

KLABU ya Simba leo inakwenda kupata safu mpya ya uongozi utakaodumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne ijayo, ukipokea zamu kutoka kwa uongozi uliokuwa chini ya Alhaji Ismail Aden Rage,...

 

11 years ago

GPL

Mrithi wa Domayo ni huyu Mghana

Frank Domayo. Na  Martha Mboma
PAMOJA na kuondoka, kwenda nchini Saudi Arabia, Kocha Hans van Der Pluijm ameanza mazungumzo na kiungo, Joseph Tetteh Zutah wa Medeama SC ya Ghana kuziba pengo lililoachwa na Frank Domayo. Kabla ya kuchukua uamuzi wa kuondoka Yanga na kujiunga na Al Shoala ya Saudi Arabia tayari Pluijm alimpendekeza Zutta kuchukua nafasi ya Domayo ambaye alisisitiza amekuwa havutiwi na uchezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani