Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrithi wa Domayo ni huyu Mghana

Frank Domayo. Na  Martha Mboma
PAMOJA na kuondoka, kwenda nchini Saudi Arabia, Kocha Hans van Der Pluijm ameanza mazungumzo na kiungo, Joseph Tetteh Zutah wa Medeama SC ya Ghana kuziba pengo lililoachwa na Frank Domayo. Kabla ya kuchukua uamuzi wa kuondoka Yanga na kujiunga na Al Shoala ya Saudi Arabia tayari Pluijm alimpendekeza Zutta kuchukua nafasi ya Domayo ambaye alisisitiza amekuwa havutiwi na uchezaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Mrithi wa Domayo atua leo mchana

Frank Domayo aliyetimkia Azam FC. Na Sweebert Lukonge
KIUNGO wa Yanga, Omega Seme, aliyerudishwa hivi karibuni katika klabu hiyo akitokea Prisons ya jijini Mbeya alikokuwa akicheza soka kwa mkopo, anatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo. Inaelezwa kuwa kiungo huyo atakwenda klabuni moja kwa moja na jukumu kubwa atakalopewa ni kuziba pengo lililoachwa na Frank Domayo aliyetimkia Azam FC. Hivi karibuni, Domayo ambaye alikuwa...

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..

Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]

The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mghana adai kumroga Ronaldo

>Mganga wa kienyeji wa Ghana, Nana Kwaku Bonsam amedai anahusika na kuumia kwa nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo baada ya kumroga ili asicheze Kombe la Dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA yaafiki marufuku ya mGhana

Fifa imempiga marufuku mchezaji wa Zamani wa Ghana Mark Edusei kwa kupanga mechi.

 

10 years ago

GPL

Mghana mpya Simba noma sana

Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Aboagye Gerson. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
WAKATI mchakato wa usajili wa kimyakimya ukiendelea kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Simba jana ilimshusha mshambuliaji raia wa Ghana, Aboagye Gerson aliyekuwa anakipiga Klabu ya Zhako ya Iraq. Ujio wa Mghana huyo ni mipango ya kukiboresha kikosi hicho katika kuelekea msimu ujao baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic kutoa...

 

10 years ago

GPL

Saa mbili za Ngoma, Mghana Yanga ni hatari

Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma. Wilbert Molandi na Sweetbert Luonge
SAA mbili walizofanya mazoezi ya pamoja na Yanga, zimetosha kabisa kwa mashabiki wa timu hiyo kukubali uwezo wa mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma na Mghana, Joseph Zuttah. Wachezaji hao walitua nchini wikiendi iliyopita na juzi walifuzu vipimo vya afya, kisha jana wakaanza kazi rasmi uwanjani na mastaa wengine.Ngoma amepewa jezi namba 11 iliyokuwa...

 

10 years ago

GPL

MZEE CHILLO AMUONGOZA MGHANA KUMUANGUKIA MONA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya/Risasi Mchanganyiko
MUIGIZAJI mkongwe, Ahmed Ulotu maarufu kama Mzee Chillo, hivi karibuni alimuongoza mtayarishaji wa filamu kutoka Ghana, Prince Richard kwenda kumpigia magoti mpenzi wake wa zamani, Yvonn Cherly ‘Monalisa’ baada ya kumkosea, lakini akajikuta akigonga mwamba kutokana na binti huyo kukataa. Muigizaji mkongwe, Ahmed Ulotu maarufu kama Mzee Chillo. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani