Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani wa CCM asusia kikao

Diwani wa Kata ya Usagara (CCM), Callos Hizza katikati ya wiki hii alitoka nje wakati Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Tanga ukiendelea kama ishara ya kupinga kupitishwa mchoro wa Ramani ya Usagara Mashariki, akidai umelenga kupora eneo la kata yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020  Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya...

 

9 years ago

GPL

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MAKAO MAKUU YA CCM OFISI NDOGO LUMUMBA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Ofisi Ndogo Lumumba, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakati wa kikao hicho.…
...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Jijini leo

IMGL0111

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.(PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani CCM lawamani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata Chimala, wilayani Mbarali, Mbeya kimemtaka diwani wa kata hiyo, Hussen Vayahe (CCM), kurudisha matofali zaidi 2,500 mali kata hiyo anayodaiwa kuyachukua   na kujengea...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. PICHA NA ISSA MICHUZI - IKULU.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

 

11 years ago

Mwananchi

Diwani wa CCM aingia matatani

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Ahamed Sawa, amechukua hati ya polisi inayoruhusu kukamatwa kwa Diwani wa Kata ya Kigera, kwa tuhuma za kuharibu vyumba vya madarasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani