Diwani wa CCM aingia matatani
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Ahamed Sawa, amechukua hati ya polisi inayoruhusu kukamatwa kwa Diwani wa Kata ya Kigera, kwa tuhuma za kuharibu vyumba vya madarasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Raza aingia matatani CCM
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Makonda aingia matatani
9 years ago
Mwananchi07 Oct
M/kiti CWT aingia matatani kwa kuhudhuria mkutano wa Lowassa
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Badwel wa CCM matatani
KAMATI ya Uchunguzi iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, imemtia hatiani Mbunge wa Bahi, Omar Badwel (CCM), akidaiwa kutumia vibaya fedha za Mfuko wa Jimbo....
10 years ago
Michuzi21 Feb
KUSHEHEREKEA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM MGENI RASMI RIDHIWANI KIKWETE AINGIA NEW YORK
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Diwani CCM lawamani
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata Chimala, wilayani Mbarali, Mbeya kimemtaka diwani wa kata hiyo, Hussen Vayahe (CCM), kurudisha matofali zaidi 2,500 mali kata hiyo anayodaiwa kuyachukua na kujengea...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Diwani CCM mbaroni Singida