Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makonda aingia matatani

Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahya Khamis Hamad amesema amepokea barua ya malalamiko ya mjumbe Ezekiel Oluoch dhidi ya mjumbe mwenzake, Paul Makonda kwamba alisema uongo juu yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Diwani wa CCM aingia matatani

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Ahamed Sawa, amechukua hati ya polisi inayoruhusu kukamatwa kwa Diwani wa Kata ya Kigera, kwa tuhuma za kuharibu vyumba vya madarasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Raza aingia matatani CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kumhoji Mwakilishi wa Uzini, Mohamed Raza, kwa tuhuma za kugombanisha viongozi na wananchi na kushindwa kutetea misingi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

M/kiti CWT aingia matatani kwa kuhudhuria mkutano wa Lowassa

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Chato mkoani Geita, ameshtakiwa kwa kosa la kwenda kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

9 years ago

Mtanzania

Kikwete aingia mtaani

MTZ jmosi new july.indd*Afanya ‘shopping’ Mlimani City

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KWA mara ya kwanza tangu aondoke madarakani mwanzoni mwa mwezi huu, jana Rais Jakaya Kikwete alionekana akifanya manunuzi katika maduka yaliyopo jengo la Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Kikwete, ambaye alikuwa amevalia suti maarufu kama ‘kaunda suti’ yenye rangi nyeusi, alionekana akiingia katika viunga vya Mlimani City saa 5:00.

MTANZANIA Jumamosi ambalo lilikuwepo katika viunga hivyo vya Mlimani City lilishuhudia Kikwete...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Aingia Chimbo

Muigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Tanzania, Mzee Chilo ameonyesha kuwa licha ya umri mkubwa alionao, anaendelea na kazi ya sanaa, hivi sasa akiwa katika utayarishaji wa tamthilia kubwa kabisa inayokwenda kwa jina 'Ghafla Siku Moja'.

Kazi hiyo inaendelea kwa sasa kuongeza nguvu kwa upande wa utayarishaji tamthilia hapa nchini ambao bado upo chini kufuatia wasanii wengi kujikita katika filamu ambazo huwagharimu bajeti na muda mdogo kukamilisha.

Eatv.tv

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa City aingia mchecheto

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mvua zinazoendelea kunyenya jijini Mbeya kwa sasa zinamwaribia mpango wake wa kuikabili Simba kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani