Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M/kiti CWT aingia matatani kwa kuhudhuria mkutano wa Lowassa

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Chato mkoani Geita, ameshtakiwa kwa kosa la kwenda kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Makonda aingia matatani

Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahya Khamis Hamad amesema amepokea barua ya malalamiko ya mjumbe Ezekiel Oluoch dhidi ya mjumbe mwenzake, Paul Makonda kwamba alisema uongo juu yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Diwani wa CCM aingia matatani

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Ahamed Sawa, amechukua hati ya polisi inayoruhusu kukamatwa kwa Diwani wa Kata ya Kigera, kwa tuhuma za kuharibu vyumba vya madarasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Raza aingia matatani CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kumhoji Mwakilishi wa Uzini, Mohamed Raza, kwa tuhuma za kugombanisha viongozi na wananchi na kushindwa kutetea misingi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli afungua Mkutano wa CWT Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini kwaya ya Chama cha Walimu CWT katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani