Diwani CCM mbaroni Singida
Diwani wa Kata ya Umyambwa, Tarafa ya Mungumaji, Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Shaban Satu (CCM) na watu wengine tisa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto basi la Kampuni ya Mtei Express ya Arusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Nov
Diwani Chadema mbaroni
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Mbuga, tarafa ya Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro, Mussa Madona, na wenzake sita wametiwa mbaroni na Polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba sita za wananchi wa kijiji cha Iputi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3o-LvSy0618/Xoq_M9xgiyI/AAAAAAALmJY/rOA7vtsrRBA_ESfUS2KfVvE7CaCbBL_5QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
DC IKUNGI AONGOZA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA KITUNTU SINGIDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-3o-LvSy0618/Xoq_M9xgiyI/AAAAAAALmJY/rOA7vtsrRBA_ESfUS2KfVvE7CaCbBL_5QCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-CK72G8iyaD0/Xon333OKRXI/AAAAAAAAki0/2sCo5_b_G2YZLV8j7vvDvjVG_9ki3iG_QCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-AOBLfDHdokQ/Xon335NTOoI/AAAAAAAAkiw/0KU8xjV9NaABsXPk2hHwqYTu94UGq4oAACLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
UWT Singida vijijini wafanya uchaguzi wa diwani wa viti maalum
Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wilaya ya Singida vijijini, waliohudhuria mkutano mkuu wa uchaguzi wa viti maalum madiwani. Mkutano huo umefanyika jana (22/7/2015) kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Mjumbe wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Singida vijijini,a kipiga kura kuchagua diwani wa viti maalum jana (22/7/2015) kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aiCFHNqZ0sE/XorwMaZdU1I/AAAAAAAAkjg/7ubKnEzAp7EL2DiGGtM1j1i2dopVdgzWwCLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-04-06-01h35m23s314.png)
DIWANI AOMBA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KWA WALEMAVU MKOANI SINGIDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-aiCFHNqZ0sE/XorwMaZdU1I/AAAAAAAAkjg/7ubKnEzAp7EL2DiGGtM1j1i2dopVdgzWwCLcBGAsYHQ/s640/vlcsnap-2020-04-06-01h35m23s314.png)
Diwani wa Kata ya Utemini, Baltazar Kimario.
Na Ismail Luhamb,Singida.
DIWANI wa Kata ya Utemini Manispaa ya Singida, Baltazar Kimario, ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kujenga chuo kipya cha ufundi stadi cha kwa ajili ya watu wenyeulemavu mkoani hapa.
Akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha baraza la madiwani kilicho keti mwishoni mwa wiki, Kimario, alisema chuo kinachoendelea kutumika kilijengwa miaka ya 70 hivyo miundombinu yake imechakaa inahitaji ukarabati wa...
9 years ago
StarTV12 Oct
Watu wanne mbaroni Singida kwakuteka gari
Watu wanne wanashikiliwa na Polisi mkoani Singida kwa tuhuma za kuteka magari sita na kuwapora abiria na madereva mali na fedha taslimu vyote kwa pamoja vikiwa na thamani ya mamilioni.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 3:30 usiku wa kuamkia jana katika eneo la njia panda barabara kuu ya kutoka na kuelekea Arusha ambapo miongoni mwa magari yaliyotekwa na watuhumiwa hao waliokuwa wakitumia silaha za jadi lilikuwa la Katibu Tawala wa mkoa wa Singida Phesto Kang’ombe.
Wanaoshikiliwa kuhusiana...
9 years ago
Habarileo09 Dec
Katibu afya Singida mbaroni kwa wizi
POLISI mkoani Singida inamshikilia Katibu wa Afya wa Wilaya ya Mkalama, James Ndimbo kwa tuhuma ya wizi wa Sh milioni sita akiwa mtumishi wa umma.
5 years ago
CCM BlogSINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI
Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...
9 years ago
StarTV16 Dec
Msichana miaka 18 mbaroni kwa kushawishi watoto na kufanya Biashara Ya Ngono Singida
Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 18 anashikiliwa na Polisi mkoani Singida kwa tuhuma za kuwashawishi watoto wa kike na kuwafanyisha biashara ya ngono kwa ujira wa kati ya shilingi 3,000 na 5,000 suala ambalo ni kinyume cha sheria, ukatili na ukiukaji wa misingi ya haki za binadamu.
Mtuhumiwa huyo Mastura Saidi mkazi wa Karakana Mjini Singida amekamatwa Jumatatu hii majira ya saa mbili usiku baada ya watoto watatu mwenye umri kati ya miaka 12 na 15 kukutwa ndani ya chumba chake wakiwa na...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Diwani CCM lawamani
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata Chimala, wilayani Mbarali, Mbeya kimemtaka diwani wa kata hiyo, Hussen Vayahe (CCM), kurudisha matofali zaidi 2,500 mali kata hiyo anayodaiwa kuyachukua na kujengea...