Sumaye:Kwa nini najitosa kusaka urais
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ametaja sababu tatu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akieleza kuwa mojawapo ni kukuza uchumi unaogusa maisha ya Watanzania wengi.
Akizungumza na NIPASHE wiki iliyopita katika mahojiano maalum nyumbani kwake Kiluvya, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Sumaye (64), alisema suala la pili linalomsukuma kuwania nafasi ya kuwa mkuu wa nchi ni vita dhidi ya rushwa, ufisadi na dawa za kulevya.
Alitaja...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Kwa nini Nyerere hana mrithi wa urais CCM ?
9 years ago
Vijimambo08 Sep
Sababu 10 kwa nini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015
![](https://scontent-ord1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xtf1/v/t1.0-9/p370x247/11144957_129316837414388_86398213818538964_n.jpg?oh=87738b120642bdb8e22cd3c3766bfbfc&oe=5661D597)
Uchaguzi Mkuu
1. Tanzania bara na visiwani yako majimbo ya uchaguzi 266, CCM imesimamisha wagombea Ubunge katika majimbo yote 266 huku Chadema na washirika wake wa Ukawa wakiwa wamesimamisha wagombea katika majimbo 211 (138 toka Chadema). Kati ya majimbo hayo 266, CCM tayari imepita bila kupingwa majimbo 7. Ukichukua majimbo 259 yaliyobaki na kutoa 211 ambayo Chadema na washirika wake wamesimamisha wagombea unabaki na majimbo 48 ambayo CCM haina upinzani wa Chadema wala washirika wake wa...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-IsjuYXA4MIg/Vfidy64cnfI/AAAAAAAD7oU/IhQ-etKR-KI/s72-c/Trump.jpg)
MJUE MGOMBEA WA KITI CHA URAIS WA MAREKANI NA NINI TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-IsjuYXA4MIg/Vfidy64cnfI/AAAAAAAD7oU/IhQ-etKR-KI/s640/Trump.jpg)
Na Mwandishi Maalum
Wakati mdahalo wa pili wa wagombea wa chama cha Republican unasubiriwa kwa hamu usiku wa Jumatano tarehe 16 Septemba, ni vyema kuandika machache kuhusu mgombea Donald Trump ambaye anaendelea kuongoza kura za maoni katika kundi kubwa la wagombea wa chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuingia Ikulu ya Marekani mwishoni mwa mwaka kesho. Katika kuchambua harakati za Bwana Trump za kuusaka uongozi wa juu wa taifa la Marekani pia tumejaribu...
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Sumaye: Nitagombea urais 2015
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Sitta adaiwa kutumia Bunge la Katiba kusaka urais
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA ELIZABETH HOMBO
MBUNGE wa Mkanyageni, Habib Mnyaa (CUF) amesema Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, anataka kulitumia Bunge la Katiba kwa nia ya kufanikisha dhamira yake ya kutaka urais.
Mnyaa alisema ni jambo la kushangaza kuona Sitta akihangaika kusaka suluhu na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Akizungumza na MTANZANIA Jumatano, Mnyaa alisema ni jambo lisiloingia...
10 years ago
Habarileo16 Jun
Epukeni wanaotumia nguvu kubwa kusaka Urais - Kinana
WANACHAMA wa CCM wametakiwa kuwa macho katika uchaguzi wa viongozi kwa kujihoji juu ya wanaotumia nguvu nyingi kusaka uongozi, wasije kuchagua wanaojali maslahi binafsi.
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Sumaye: Nimejipima nikaona ninatosha urais
10 years ago
GPLSUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...