Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Epukeni wanaotumia nguvu kubwa kusaka Urais - Kinana

WANACHAMA wa CCM wametakiwa kuwa macho katika uchaguzi wa viongozi kwa kujihoji juu ya wanaotumia nguvu nyingi kusaka uongozi, wasije kuchagua wanaojali maslahi binafsi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda awashangaa wanaotumia rasilimali nyingi kuusaka urais

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewashangaa watu wanaotumia fedha na rasilimali za nchi kwa ajili ya kuutaka urais na kuwakumbusha wenye nia hiyo kuwa, rais ni mipango na neema za Mungu..

 

9 years ago

Michuzi

SHINDANO KUBWA LA KUSAKA VIPAJI VYA KUCHEZEA MPIRA 'FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP' KUANZA HIVI KARIBUNI

IMG_20151022_190217
Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
IMG_20151010_014924IMG_20151010_022504

 

10 years ago

Vijimambo

Sumaye:Kwa nini najitosa kusaka urais

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ametaja sababu tatu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akieleza kuwa mojawapo ni kukuza uchumi unaogusa maisha ya Watanzania wengi.

Akizungumza na NIPASHE wiki iliyopita katika mahojiano maalum nyumbani kwake Kiluvya, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Sumaye (64), alisema suala la pili linalomsukuma kuwania nafasi ya kuwa mkuu wa nchi ni vita dhidi ya rushwa, ufisadi na dawa za kulevya.

Alitaja...

 

11 years ago

Mtanzania

Sitta adaiwa kutumia Bunge la Katiba kusaka urais

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA ELIZABETH HOMBO

MBUNGE wa Mkanyageni, Habib Mnyaa (CUF) amesema Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, anataka kulitumia Bunge la Katiba kwa nia ya kufanikisha dhamira yake ya kutaka urais.

Mnyaa alisema ni jambo la kushangaza kuona Sitta akihangaika kusaka suluhu na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano, Mnyaa alisema ni jambo lisiloingia...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA APATA NYOMI LA NGUVU LUSHOTO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahamn Kinana  na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwa pamoja wakiwapungia mkono mamia ya watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola wilayani Lushoto.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola ambapo aliwasisitiza wananchi hao kushiriki kazi za maendeleo na kujiunga kwa wingi kwenye mfuko wa Afya ya jamii.

Umati wa wakazi wa kata ya Mlola wakimsikiliza Katibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta akana kutumia #Bunge la Katiba kusaka Urais 2015, ajipigia debe kiaina[VIDEO]

Wakati joto la Urais mwakani likizidi kuongezeka nchini, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta ameweka wazi kuwa hana nia ya kuwania Urais kwa kutumia kigezo cha kuongoza Bunge hilo maalum.

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI ATUA TANZANIA KUSAKA KURA, AKUTANA NA MAMA MARIA NYERERE KUOMBA BARAKA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimlaki mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO, Mhe Filipe Nyusi alipowasili leo jioni Julai 9, 2014, kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya ziara ya siku tatu, kusaka kura kwa wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania, kufuatia kampeni za Urais zinazoendelea nchini kwake.Mgombea huyo wa Urais Filipe Nyusi akimsalimia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye pia alifika...

 

9 years ago

Vijimambo

SPEED YA MWIGULU NCHEMBA KUSAKA KURA ZA URAIS ZA MAGAFULI YAONGEZEKA,APIGA MAJIMBO 6 HII LEO KANDA YA ZIWA

Mwigulu Nchemba Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Busega Dr.Chegeni mapema hii leo.Mwigulu Nchemba Jimbo la Busega kwa Dr.Chegeni akisisitiza Wananchi kwenda kupiga kura kwa wingi,Hakuna namna CCM itashinda kwa kishindo kama wananchi hawajitokezi kupiga kura,Kura ni kwaajili ya maamuzi makubwa ya Taifa lako.Wananchi wa Sumve wakionesha Umoja wao kwenye zoezi la kwenda Kuichagua CCM kwa nafasi zote.Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani