Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA APATA NYOMI LA NGUVU LUSHOTO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahamn Kinana  na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwa pamoja wakiwapungia mkono mamia ya watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola wilayani Lushoto.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola ambapo aliwasisitiza wananchi hao kushiriki kazi za maendeleo na kujiunga kwa wingi kwenye mfuko wa Afya ya jamii.

Umati wa wakazi wa kata ya Mlola wakimsikiliza Katibu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZIARA YA KINANA LUSHOTO‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwapungia wananchi walipokuwa wakiingia kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mlola wakati wa zioara yao ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi  pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.…
...

 

10 years ago

Mwananchi

Lushoto kukipa nguvu kilimo cha mboga mboga

Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga wakulima wa mboga mboga wametakiwa kuzitumia mvua zinazonyesha kwa kulima kuhifadhi maji ili kuwasaidia wakati wa kiangazi.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUSHOTO.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola ambapo aliwasisitiza wananchi hao kushiriki kazi za maendeleo na kujiunga kwa wingi kwenye mfuko wa Afya ya jamii.Umati wa wakazi wa kata ya Mlola wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia wananchi hao. Wazee Maarufu wa kijiji cha Lwandai wakifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye anafanya ziara za kujenga na...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Ndugu Ismail Semkunde aliyekuwa Mwenyekiti wa Jimbo la Mlalo Chadema na kuamua kurejea CCM. Mzee Julius Kavurai aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Mlalo Chadema akiwapungia mkono wananchi kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara wilayani Lushoto ya kujenga na kukiimarisha chama pamoja na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 inavyoendelea. Mzee Charles Kagonji...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, Oktoba 10, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI. Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10,...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND PLATINUMZ ATUA DAR APATA MAPOKEZI YA NGUVU.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

 

10 years ago

Habarileo

Epukeni wanaotumia nguvu kubwa kusaka Urais - Kinana

WANACHAMA wa CCM wametakiwa kuwa macho katika uchaguzi wa viongozi kwa kujihoji juu ya wanaotumia nguvu nyingi kusaka uongozi, wasije kuchagua wanaojali maslahi binafsi.

 

10 years ago

Vijimambo

Kinana Apata Wasaa Wa Kuongea Na Lowassa. Hivi Ndivyo ilivyokuwa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na aliyekuwa muomba ridhaa ya CCM kuwania Urais, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, baada ya kumfuata alikokuwa ameketi wakati wa mkutano huo

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara yake mkoani Lindi, apata mapokezi mazuri Somanga Kilwa

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa Skafu na vijana na wa Chipukizi wakati alipowasili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi akianza ziara yake ya siku 16 katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza sughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wananchi, Katibu Mkuu huyo anaongozana naNape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na Mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani