Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Nimejipima nikaona ninatosha urais

>Waziri Mkuu  wa zamani, Frederick Sumaye ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, huku akibainisha kuwa amejipima, ametafakari na kujiridhisha kuwa anatosha kushika wadhifa huo wa juu nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NIMEJIPIMA, NIKAJITAFAKARI NA KUJIRIDHISHA KUWA NATOSHA - SUMAYE

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Fredrick Sumaye. WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mhe. Fredrick Sumaye ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro jijini Dar leo. Sumaye amesema kuwa ameamua kutangaza nia akiwa Dar es Salaam maana anataka kuwatumikia Watanzania wote siyo wa nyumbani kwake pekee. Kauli mbiu yake ni ‘Uongozi Bora, Komesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye: Nitagombea urais 2015

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha rasmi kuwa atagombea kwenye uchaguzi mkuu mwakani.

 

10 years ago

GPL

SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye akitangaza nia ya kugombea urais mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano huo leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

Sumaye:Kwa nini najitosa kusaka urais

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ametaja sababu tatu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akieleza kuwa mojawapo ni kukuza uchumi unaogusa maisha ya Watanzania wengi.

Akizungumza na NIPASHE wiki iliyopita katika mahojiano maalum nyumbani kwake Kiluvya, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Sumaye (64), alisema suala la pili linalomsukuma kuwania nafasi ya kuwa mkuu wa nchi ni vita dhidi ya rushwa, ufisadi na dawa za kulevya.

Alitaja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba

WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...

 

10 years ago

Michuzi

SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS-2015 JIJINI DAR LEO.

 Waziri Mkuu Mstafu  Fedrick Tluway Sumaye wa awamu ya pili Mwaka (1995 – 2005) na Mbunge wa Jimbo la  Hanang (CCM) akizungumza wakati wa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,katika mkutano uliofanyika ndani ya hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es Salaam leo, akiwa na kauli mbiu ya"KOMESHA RUSHWA JENGA UCHUMI"

Baadhi ya wananchi na Wanahabari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri Mkuu Mstafu  Fedrick Tluway Sumaye wakati akitangaza nia ya kugombea...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

 Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akiingia ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mke wake Ester Frederick Sumaye kwa ajili ya kutangaza nia ya kuwania nafasi ya urais wakati ukifika iwapo jina lake litapitishwa na chama chake cha CCM.  Waziri Mkuu mstaafu  Sumaye akiwa na mke wake Ester Sumaye wakati wa mkutano huo wa kutangaza nia. Waziri Mkuu mstaafu Sumaye (kulia), akizungumza na wanahabari na wadau wengine wakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Ninatosha na chenji inabaki

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewashukuru wanachama waliojitokeza kumdhamini, huku akieleza kuwa anaondoka mkoani Iringa na msemo mpya; “Yeye anatosha na chenji inabaki.”

 

10 years ago

Raia Tanzania

JUMA KAPONDA: Ninatosha kuvaa viatu vya Prof. Mwandosya

JOTO la uchaguzi mkuu linaendelea kushika kasi, huku kiu ya mabadiliko ikiwagusa wengi, baadhi yao wakitangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.

Mwalimu Juma Kaponda, ambaye ni Ofisa Elimu ya Msingi Mkoa wa Dodoma, ametangaza nia kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Rungwe Mashariki.  Fuatana na mwandishi wetu Christina Mwagala katika mahojiano haya, ili kujua kwa undani dhamira ya Kaponda.

Raia Tanzania: Msomaji angependa kufahamu, wewe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani