Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Nitagombea urais 2015

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha rasmi kuwa atagombea kwenye uchaguzi mkuu mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hamad Rashid: Nitagombea urais 2015

Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed amesema anapanga kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu mwakani.

 

10 years ago

GPL

SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye akitangaza nia ya kugombea urais mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano huo leo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba

WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...

 

10 years ago

Michuzi

SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS-2015 JIJINI DAR LEO.

 Waziri Mkuu Mstafu  Fedrick Tluway Sumaye wa awamu ya pili Mwaka (1995 – 2005) na Mbunge wa Jimbo la  Hanang (CCM) akizungumza wakati wa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,katika mkutano uliofanyika ndani ya hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es Salaam leo, akiwa na kauli mbiu ya"KOMESHA RUSHWA JENGA UCHUMI"

Baadhi ya wananchi na Wanahabari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri Mkuu Mstafu  Fedrick Tluway Sumaye wakati akitangaza nia ya kugombea...

 

10 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah: Nitagombea ubunge au urais miaka 10 ijayo

Rapper Kala Jeremiah amesema atafikiria kugombea nafasi ya ubunge au urais baada ya miaka 10 licha ya kushauriwa na watu mbalimbali kufanya hivyo muda huu. Kala ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa bado anataka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa njia ya muziki. “Mimi nimekuwa kati ya wasanii ambao nimekuwa nikishauriwa kuingia kwenye siasa na kugombea,” amesema rapper […]

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Nimejipima nikaona ninatosha urais

>Waziri Mkuu  wa zamani, Frederick Sumaye ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, huku akibainisha kuwa amejipima, ametafakari na kujiridhisha kuwa anatosha kushika wadhifa huo wa juu nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Sumaye:Kwa nini najitosa kusaka urais

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ametaja sababu tatu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akieleza kuwa mojawapo ni kukuza uchumi unaogusa maisha ya Watanzania wengi.

Akizungumza na NIPASHE wiki iliyopita katika mahojiano maalum nyumbani kwake Kiluvya, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Sumaye (64), alisema suala la pili linalomsukuma kuwania nafasi ya kuwa mkuu wa nchi ni vita dhidi ya rushwa, ufisadi na dawa za kulevya.

Alitaja...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

 Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akiingia ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mke wake Ester Frederick Sumaye kwa ajili ya kutangaza nia ya kuwania nafasi ya urais wakati ukifika iwapo jina lake litapitishwa na chama chake cha CCM.  Waziri Mkuu mstaafu  Sumaye akiwa na mke wake Ester Sumaye wakati wa mkutano huo wa kutangaza nia. Waziri Mkuu mstaafu Sumaye (kulia), akizungumza na wanahabari na wadau wengine wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani