SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KAMANDA MOHAMED MTOI KANYAWANA
Picha ya kampeni ya Mohamed Mtoi wakati anagombea Jimbo la Lushoto Tanga.Pichani Gari ambayo ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana amepatia ajali akitokea kwenye kampeni.
NACHUKUA fursa hii kwa masikitiko makubwa sana kutoa Salamu za Rambirambi kwa Familia na Uongozi wa Juu wa Chadema Makao makuu kwa msiba wa Kamanda mwenzetu, Mpiganaji wa kweli, Kijana mwenzetu Ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana aliyefariki kwa ajali ya Gari iliyotokea huko Tanga. Kwa kweli bado tulikuwa tunamhitaji sana kamanda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJK ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ZA MZEE RUANGISA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa masikitiko na huzuni nyingi taarifa ya kifo cha...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KIGODA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Abdallah Omari Kigoda ambaye aliaga dunia jana, Jumatatu, Oktoba 12, 2015 katika Hospitali ya Apollo mjini New Delhi, India, ambako alikuwa amelazwa kwa matibabu tokea Septemba 19, mwaka huu. Alikuwa na umri wa...
10 years ago
GPLSALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII CHIGWELE CHE MUNDUGWAO
10 years ago
MichuziJK ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Salamu za rambirambi kutoka TGNP kufuatia kifo cha Edson Kamukara
Marehemu Edson Kamukara enzi za uhai wake.
Salamu Za Rambirambi Kutoka TGNP- Kifo Cha Kamukara
10 years ago
MichuziRAIS ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWANDISHI WA TBC -DYAULI
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Clement Mshana,...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA BW. JOHN NYERERE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Jumamosi Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole kwa kuondokewa na kijana wake.
“Hakuna mzazi anayependa kuondokewa na mwanae, ni kitu kigumu sana kwa mzazi...
5 years ago
CCM Blog10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshutuko na masikitiko taarifa za kifo cha mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es...