Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 18 ya kifo cha Tupac wasanii mmejifunza nini?

Leo dunia nzima inaadhimisha miaka 18 ya kifo cha nguli wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kuitikisa dunia ya vijana kwa miaka isiyozidi minane akiwa kinara na kisha kuaga dunia kwa kupigwa risasi na mahasimu wake na kufariki dunia siku ya saba baada ya kupoteza damu nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE WALIVYOMKUMBUKA

Marehemu Steven Kanumba. Flora Mvungi. Florah Mvungi
It has been 2 years since ututoke ndugu yetu,Mungu akupunguzie adhabu,tunakuombea na tunakukumbuka sana kwa mchango wako mkubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania,tunaadhimisha KANUMBA DAY leo tar 7 mwezi wa 4 kwa pamoja tutaenda kanisani temboni saa tatu asubuhi kisha makaburini na baadae dar live,karibuni sana tujumuike pamoja.… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii Wamepoteza Ajira

ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.

Steven Charles Kanumba alikuwa ni msanii, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu aliyeifanya tasnia ya filamu nchini kuwa hai.

Kanumba, alikuwa ni zaidi ya mwigizaji kutokana na uwezo wake wa kutengeneza uhalisia wa kile alichokuwa akikifanya katika filamu.

Katika miaka yake ya mwanzo kaburini kila ilipofika Aprili 7 ya kila mwaka kulikuwa na tukio kubwa kwa ajili ya kumbukumbu yake.

Lakini mwaka huu...

 

9 years ago

Vijimambo

KIFO CHA MTOI NINI KILITOKEA

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, pamoja na makada wengine wa chama hicho, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi (39), aliyefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika leo saa 7:00 mchana katika kijiji cha...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...

Na Mwandishi Wetu
WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunajifunza nini kifo cha Betty Ndejembi?

Betty Ndejembi ni msichana mrembo na mwanamitindo ambaye anatumia sana huduma za mitandao ya kijamii kwa ajili ya shughuli zake mbalimbali za kujiingizia kipato na kujitangaza zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii walivyoguswa na kifo cha ‘MCD’

TASNIA ya muziki wa dansi Jumanne ya wiki hii imepata pigo baada ya kumpoteza mpiga tumba maarufu, Soud Mohamed ‘MCD’, aliyezikwa juzi nyumbani kwao Majengo, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro....

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MKE WA NOORAH CHAWALIZA WASANII

KIFO cha mke wa msanii wa Chamber Squard, Noorah aitwaye Anna Kingwalu aliyefariki dunia Jumanne ya wiki hii mkoani Morogoro, kimewaliza wasanii wengi katika tasnia ya muziki Bongo. Msanii wa Chamber Squard, akiwa na marehemu mkewe Anna Kingwalu siku ya harusi yao. Akizungumza na Centre Spread, kiongozi wa Kundi la Chamber Squard, Dark Master alisema kuwa kwa kipindi kifupi ndani ya mwaka huu kundi lao limepata pigo kubwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Tanzania 2020: Nini mustakabali wa upinzani baada ya 'kifo' cha UKAWA?

Je, hatima ya uliokuwa muungano wa vyama vya upinzani UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) 'ulishazikwa rasmi'.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Tunafahamu nini kuhusu maafisa 4 wa polisi waliohusika?

Wako wapi maafisa wengine watatu waliokuwepo wakati wa kukamatwa kwa George Floyd na kushuhudia Derek Chauvin akimzuilia chini kwa kutumia goti lake?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani