Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyegombea uenyekiti NCCR afariki dunia

ALIYEGOMBEA nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi katika uchaguzi uliofanyika mwaka huu, Charles Makofila amefariki dunia usiku wa kuamkia jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbatia kuchuana na Makofila uenyekiti NCCR

MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia atachuana vikali na Charles Makofila kuwania uenyekiti wa taifa katika uchaguzi utakaofanyika wiki ijayo. Uchaguzi huo utafanyika kwenye mkutano mkuu wa Januari 18, mwaka huu, jijini Dar es Salaam ukishirikisha wajumbe 289.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

9 years ago

Mwananchi

Aliyegombea ubunge asakwa na Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Geita linamtafuta aliyekua mgombea  wa ubunge  kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rogers Ruhega kwa tuhuma za kuhusika na shambulio la kudhuru mwili  wa Moshi Paul akiwa na vijana wengine 25.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Mhita afariki dunia



NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...

 

10 years ago

GPL

Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA

Wasanii wa Wanaume Family, kutoka kushoto, Dogo Aslay, Stiko na YP (Kushoto) wakiwa katika pozi. Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’ amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua. Akizungumza na mtandao huu Kiongozi wa kundi hilo, Said Fela, amethibitisha msiba huo na kusema ratiba kamili itatoka leo mchana....

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo lingine kwa kuondokewa na Mbunge wa Chalinze (CCM), Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

10 years ago

CloudsFM

Mez B afariki Dunia

Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!

 

10 years ago

CloudsFM

MSANII YP AFARIKI DUNIA

Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Gurumo afariki dunia

>Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani