HAUSIGELI ALIVYOMUUA...

Stori: MWANDISHI WETU, SINGIDA SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa na hausigeli wake aliyetajwa kwa jina la Valentina Karenge (17). Ndugu wa marehemu akiuandaa mwili kwa ajili ya kuagwa Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi huyo wa ndani mkoani Singida kudaiwa kumuuua tajiri yake kwa kumchoma kisu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Mke alivyomuua mumewe kikatili na kumfukia!
Mwanamke aliyezungushiwa duara jekundu ndiye anayedaiwa kumuua mumewe na kumfukia.
NI simulizi ya kushangaza kufuatia Archard Frederick (41), kudaiwa kupigwa na kitu kizito kichwani hadi kufariki dunia na mkewe, chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Tukio hilo lilijiri Desemba 11, mwaka huu Kijiji cha Irogelo, Kitongoji cha Buhesi, Kamachumu, Muleba, Kagera.
Akizungumza na gazeti mwenyekiti wa kijiji hicho, Prudence Rutaihwa alisema kabla ya Archard hajafariki dunia aligombana na...
10 years ago
GPL
MUME ALIVYOMUUA MKEWE KWA NYUNDO!
10 years ago
GPL
HAUSIGELI AJINYONGA!
11 years ago
Habarileo06 Oct
'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-
MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.
10 years ago
GPL
HAUSIGELI NUSURA AUAWE
10 years ago
GPL
SHAROBARO, HAUSIGELI LIVE
11 years ago
GPL
HAUSIGELI ATOBOA SIRI
11 years ago
GPL
MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA
10 years ago
GPL
HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO