Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyejeruhi kwa meno asota rumande

>Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige (42) jana alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni kujibu shtaka la kumjeruhi kwa meno mfanyakazi wake wa ndani Yusta Lucas.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanasheria aliyemjeruhi ‘hausigeli’ asota rumande

MWANASHERIA Yastinter Rwechungura (44), mkazi wa Boko-Njiabanda, jijini Dar es Salaam, anayekabiliwa na kesi ya kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, Merina Mathayo, amerudishwa rumande bada ya kushindwa kutimiza masharti...

 

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara 21 watupwa rumande kwa kudharau usafi

MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly amewaweka ndani wafanyabiashara 21 kwa saa 6 kwa kukiuka agizo la Rais la kufanya usafi na kufungua maduka kabla ya muda ulioelekezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lema, wenzake 24 rumande kwa saa nne

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine 24 juzi walijikuta wakiwekwa mikononi mwa polisi kwa saa nne kutokana na purukushani za uandikishaji wa wapigakura katika mfumo wa BVR.

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

10 years ago

Mwananchi

Vichokoa meno vizuri ila vyaweza kukuathiri fizi, meno

Matumizi ya vijiti vya kuchokoa meno maarufu kama ‘toothpick’ ni namna nyepesi zaidi ya kuondoa mabaki ya nyama, mboga za majani au matunda yaliyonasa katika meno badala ya kufanya hivyo kwa kidole ama kitu kingine.

 

9 years ago

StarTV

Maafisa ardhi Kinondoni wawekwa rumande kwa saa 6

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameagiza kuwekwa ndani kwa Maofisa Ardhi wote wa Wilaya ya Kinondoni kwa saa sita kutokana na kuchelewa kufika katika eneo  la Sangwe  Kata ya Wazo   walipokuwa wamekubaliana  kukutana kwa ajili kutafuta suluhisho la migogoro  ardhi  katika eneo hilo.

Kwa Mujibu wa Makonda, Kitendo cha Maofisa ardhi hao kuchelewa katika eneo la tukio ni utovu wa Nidhamu na ukiukaji wa maadili ya kazi ambayo yanazidi kuwafanya wananchi kuishi  kwa shida kutokana na...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa zamani asota polisi siku 3

WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota katika kituo cha Polisi kwa muda wa siku tatu tangu alipokamatwa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chid Benz akosa dhamana, asota Segerea

MKALI wa Muziki wa Hip Hop nchini, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ jana ameswekwa rumande Segerea, kwa kushindwa masharti ya dhamana, baada ya kupandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani