Wafanyabiashara 21 watupwa rumande kwa kudharau usafi
MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly amewaweka ndani wafanyabiashara 21 kwa saa 6 kwa kukiuka agizo la Rais la kufanya usafi na kufungua maduka kabla ya muda ulioelekezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Nov
Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.
Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATUPWA RUMANDE
11 years ago
Habarileo10 Feb
Watatu jela kwa kudharau amri ya RC
WATU watatu kutoka mkoani Ruvuma wamehukumiwa kila mmoja kifungo cha miezi sita jela, baada kutiwa hatiani na Mahakama kwa kosa la kuvua samaki ndani ya Ziwa Rukwa kinyume cha amri halali ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wachapwa faini ya mil 60/- kwa kudharau mamlaka
NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha).
11 years ago
Habarileo22 Dec
Watupwa jela miaka 60 kwa ujambazi
WA K A Z I wawili wa kijiji cha Kakese, John M w a k a l e - bene (24) na Kamili Lugoye (30) wametiwa hatiani na kuhukumiwa na makakama ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwenda jela miaka 60 baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
10 years ago
Habarileo11 Feb
22 ‘watupwa’ jela kwa uhamiaji haramu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imewahukumu wahamiaji haramu 22 kutoka nchini Ethiopia kifungo cha kwenda jela miaka miwili kila mmoja ama kulipa faini ya Sh 50,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuingia nchini bila kuwa na kibali cha Seriakali au hati ya kusafiria.
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Samatta, Ulimwengu watupwa kwa Waarabu CAF
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BAADA ya timu ya TP Mazembe (DRC) wanayochezea Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa itakuwa na shughuli pevu kufika fainali baada ya kupangiwa Waarabu.
Samatta ndiye aliyekuwa chachu ya Mazembe kufika hatua hiyo baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’, wakati miamba hiyo ilipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0 wikiendi iliyopita.
Mabao hayo yalimfanya Samatta kuondoa ukame wa...
10 years ago
Habarileo15 Nov
Watupwa jela miaka 20 kwa meno ya tembo
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh milioni tano kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Wachina watupwa jela miaka 20 kwa ujangili