Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu jela kwa kudharau amri ya RC

WATU watatu kutoka mkoani Ruvuma wamehukumiwa kila mmoja kifungo cha miezi sita jela, baada kutiwa hatiani na Mahakama kwa kosa la kuvua samaki ndani ya Ziwa Rukwa kinyume cha amri halali ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara 21 watupwa rumande kwa kudharau usafi

MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly amewaweka ndani wafanyabiashara 21 kwa saa 6 kwa kukiuka agizo la Rais la kufanya usafi na kufungua maduka kabla ya muda ulioelekezwa.

 

9 years ago

Habarileo

Wachapwa faini ya mil 60/- kwa kudharau mamlaka

NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha).

 

11 years ago

GPL

WANAHABARI WATATU WA AL JAZEERA JELA MIAKA 7

Wanahari wa Al Jazeera waliohukumiwa kwenda jela miaka 7. MAHAKAMA nchini Misri imewahukumu kwenda jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa Shirika la Habari la Al Jazeera waliokuwa wamezuiliwa miezi sita nchini humo. Wanahabari hao walipatikana na hatia ya kueneza habari za upotoshaji na kushirikiana na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Muslim Brotherhood. Mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste, raia wa Australia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simbachawene: Siwezi kudharau vibatari

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), ameitaka Serikali itoe tamko juu ya kauli ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene ya kuwataka Watanzania wasioweza kumudu bei...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar iwache kudharau elimu 

KATIKA jamii nyini na nchi mbali mbali duniani zenye imani tafauti za kidini, siasa na tamaduni suala la elimu hupewa umuhimu mkubwa na halifanyiwi mzaha wala karaha. Haki hii huwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mbunge wa Ubungo Mbaroni kwa Amri ya DC. Makonda

1Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), akipanda kwenye apelekwe kituoni.2 Wananchi wakitaharuki.3Mbunge Saed Kubenea mwenye (shati jeusi) wakitofautina na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC. Paul Makonda (mwenye fulana ya mistari).4 Hali ya sintofahamu.5Kubenea akizungumza jambo.

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) jana alikamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.

Tukio hilo lilitokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Ubungo mbaroni kwa amri ya Makonda

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Anaandika Josephat Isango … (endelea).Tukio hilo limetokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800 wa kiwanda cha nguo cha TZ TOOKU ambao walimpigia mbunge wao aende kutatua mgogoro huo.Kubenea alifika katika eneo hilo saa 6 mchana, akakutana na

 

11 years ago

BBCSwahili

Abakwa kwa amri ya wazee wa kijiji India

Mwanamke mmoja amebakwa na genge la wanaume 13 katika jimbo la Benghal Magharibi nchini India kwa amri ya wazee wa kijiji.

 

5 years ago

Bongo5

Agnes Masogange kukamatwa kwa amri ya Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hati ya kukamatwa Msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange (28), baada ya kushindwa kufika mahakamani mara kwa mara ya pili kesi yake ilipopangwa kutajwa.

Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Wilbroad Mashauri ametoa amri hiyo baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa lakini mshtakiwa, wadhamini na wakili wa utetezi wote hawakuwepo mahakamani.

Wakili wa Serikali Adolf Nkini alidai kuwa kesi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani