Agnes Masogange kukamatwa kwa amri ya Mahakama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hati ya kukamatwa Msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange (28), baada ya kushindwa kufika mahakamani mara kwa mara ya pili kesi yake ilipopangwa kutajwa.
Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Wilbroad Mashauri ametoa amri hiyo baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa lakini mshtakiwa, wadhamini na wakili wa utetezi wote hawakuwepo mahakamani.
Wakili wa Serikali Adolf Nkini alidai kuwa kesi hiyo...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcq2rEH9LQl*XnohnyIFjGRgz8TGbJ1t0JaNwboGXGbOkyS0kCk6iU9B4IN5xNLnawA01RTh1kcAO9ro4-Co1oAh/MASOGANGE3.jpg?width=650)
9 years ago
Bongo512 Dec
Agnes Masogange ana ujauzito wa Davido?
![masogange4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/masogange4-300x194.jpg)
Kama ni ‘kiki’ basi imefanikiwa, kwa sababu hadi mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa kuna uwezekano Agnes Masogange akawa na ujauzito wa staa wa Naija, Davido.
Agnes na Davido wameonekana kuwa karibu siku za hivi karibuni, baada ya kuwa wanapost picha tofauti tofauti wakiwa wanakula bata pamoja kama couple.
Mtandao wa Pulse wa Nigeria umeandika kuwa kuna uwezekano malkia huyo wa ‘shepu’ Bongo, Agnes akawa na ujauzito wa Davido baada ya kupost picha ya kipimo cha mimba kinachoonesha...
9 years ago
Bongo524 Oct
Agnes Masogange adai sababu iliyomfanya Tekno amkane ni ukaribu wake na Davido!
9 years ago
Bongo523 Oct
Tekno anajua kitu gani kilichomuuma ndio maana anajishtukia — Agnes Masogange ajibu
11 years ago
Bongo504 Aug
Agnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa ‘Thando’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UtVXqW2T-Ok/VWf05psPBoI/AAAAAAAHahw/NVBQOh8C5ek/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA:USIKAMATWE NA ASKARI KWA AMRI YA MAHAKAMA BILA KUONESHWA HATI HII.
![](http://1.bp.blogspot.com/-UtVXqW2T-Ok/VWf05psPBoI/AAAAAAAHahw/NVBQOh8C5ek/s320/images.jpg)
Kifungu cha 112 ( 1 ) na ( 2 ) cha Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai kinaeleza kwa urefu kuhusu hati ya kumkamata raia ( warrant of arrest ) ambayo hutolewa na mahakama. Kifungu hiki kimeeleza namna hati hii inavyopaswa kuwa na maudhui yanayopaswa kuwa ndani ya hati hiyo.
Lengo ni kumfanya raia ajue anakamatwa na nani , kwanini na anapelekwa wapi. Ni hati ambayo imebeba taarifa zinazolenga kusimamia na kulinda haki za ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-z0yZOe-i_N0/VDaX4BcYotI/AAAAAAAGo1I/3EtYjsPjM9o/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
News Alert: Baraza la Maadili latoa amri ya kukamatwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
Baraza la Maadili limetoa amri ya kukamatwa mara moja Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili.
Akizungumza baada ya kuahirisha kikao cha Baraza hilo lililoanza vikao vyake tarehe 9/10/2014, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi alisema kuwa amri hiyo imetolewa kwa mujibu wa fungu la 24 (4) la Sheria ya Maadili ...
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Amri ya Mahakama yazua sintofahamu bungeni
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Walimu wakaidi amri ya mahakama Kenya