Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Agnes Masogange ana ujauzito wa Davido?

masogange4

Kama ni ‘kiki’ basi imefanikiwa, kwa sababu hadi mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa kuna uwezekano Agnes Masogange akawa na ujauzito wa staa wa Naija, Davido.

masogange4

Agnes na Davido wameonekana kuwa karibu siku za hivi karibuni, baada ya kuwa wanapost picha tofauti tofauti wakiwa wanakula bata pamoja kama couple.

maso david

Mtandao wa Pulse wa Nigeria umeandika kuwa kuna uwezekano malkia huyo wa ‘shepu’ Bongo, Agnes akawa na ujauzito wa Davido baada ya kupost picha ya kipimo cha mimba kinachoonesha...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Agnes Masogange adai sababu iliyomfanya Tekno amkane ni ukaribu wake na Davido!

Mrembo Agnes Masogange ameendeleza episode nyingine ya drama yake na mwimbaji wa Nigeria, Tekno miles, iliyoibuka wiki hii baada ya mwimbaji huyo kukanusha kuwa hajawahi kuvunja naye amri ya sita! Katika muendelezo wa kutaka kuthibitisha kuwa alichokisema Tekno sio kweli, Agnes ameweka wazi sababu anayodai kuwa ndiyo iliyomfanya mwimbaji huyo wa ‘Duro’ amkane, kuwa ni […]

 

9 years ago

MillardAyo

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange!

Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […]

The post Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Bongo5

Agnes Masogange kukamatwa kwa amri ya Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hati ya kukamatwa Msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange (28), baada ya kushindwa kufika mahakamani mara kwa mara ya pili kesi yake ilipopangwa kutajwa.

Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Wilbroad Mashauri ametoa amri hiyo baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa lakini mshtakiwa, wadhamini na wakili wa utetezi wote hawakuwepo mahakamani.

Wakili wa Serikali Adolf Nkini alidai kuwa kesi hiyo...

 

11 years ago

Bongo5

Agnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa ‘Thando’

Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko! Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia […]

 

10 years ago

Bongo5

Tekno anajua kitu gani kilichomuuma ndio maana anajishtukia — Agnes Masogange ajibu

Video vixen wa Bongo, Agnes Masogange ameonesha kupingana na kauli ya msanii wa Nigeria, Tekno Miles ambaye amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano naye. Drama ya Agnes mshepu na hit maker wa ‘Duro’ imeibuka baada ya Tekno kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kupitia kipindi cha ‘Ala Za Roho’, ambapo alikanusha kabisa kuwahi kuwa […]

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE, DAVIDO PENZI...

Agness Gerald ‘Masogange’ na staa wa muziki nchini Nigeria ‘Naija’, David Adedeji Adeleke ‘Davido’ wakijiachia katika klabu moja ya usiku nchini Afrika Kusini. Mwandishi wetu PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi! Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za wanamuziki wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ na staa wa muziki nchini Nigeria...

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE AFUNGUKIA PENZI LA DAVIDO

VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake na staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido. Video Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ . Akizungumza na Amani Masogange alisema kuwa kuna uvumi unaovumishwa na baadhi ya watu kwamba amekuwa akitoka kimalovee na Davido jambo ambalo halina ukweli wowote. “Kwanza kabisa Davido ni shemeji...

 

9 years ago

Global Publishers

Masogange afungukia mimba ya Davido

Aggy3 Agness Jerald ‘Masogange’.

Na Imelda Mtema
Video queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amefungukia taarifa zinazoendelea kuenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii pamoja na mitaani kwamba amedungwa mimba na mwanamuziki ‘chakaramu’ kutoka nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke ‘Davido’.

Akizungumza na mwandishi wetu, Masogange anayesifika kwa kuwa na umbo matata, alikanusha vikali taarifa hizo na kuongeza kuwa anashangazwa sana na watu wanaoendelea kumzushia wakati hana uhusiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani