WANAHABARI WATATU WA AL JAZEERA JELA MIAKA 7

Wanahari wa Al Jazeera waliohukumiwa kwenda jela miaka 7. MAHAKAMA nchini Misri imewahukumu kwenda jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa Shirika la Habari la Al Jazeera waliokuwa wamezuiliwa miezi sita nchini humo. Wanahabari hao walipatikana na hatia ya kueneza habari za upotoshaji na kushirikiana na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Muslim Brotherhood. Mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste, raia wa Australia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Wandishi wa Al Jazeera miaka 7 jela
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
Waandishi wa Al Jazeera miaka 3 Jela
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Wanahabari wa Al-Jazeera wasamehewa Misri
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Waandishi wa Al Jazeera wafungwa Jela
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Wandishi wa Al Jazeera wafungwa jela
10 years ago
GPL19 May
10 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
11 years ago
Habarileo10 Feb
Watatu jela kwa kudharau amri ya RC
WATU watatu kutoka mkoani Ruvuma wamehukumiwa kila mmoja kifungo cha miezi sita jela, baada kutiwa hatiani na Mahakama kwa kosa la kuvua samaki ndani ya Ziwa Rukwa kinyume cha amri halali ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
5 years ago
Michuzi
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...